Weka bei

Weka bei

Ah la nn lote hilo!! Na parking zenyewe za bongo dah...labda km linawezaruka pia.
 
Inafika ngapi?

attachment.php

We bwana utafiti hivi unajua bara bara za BRT bado hazijaisha? Utaliendesha bara bara za wapi kwa hapa Bongo? Halafu hiyo bei tu weke kwa dolari, yuro, kwacha, randi, madafu ya bongo au?
 
Last edited by a moderator:
We bwana utafiti hivi unajua bara bara za BRT bado hazijaisha? Utaliendesha bara bara za wapi kwa hapa Bongo? Halafu hiyo bei tu weke kwa dolari, yuro, kwacha, randi, madafu ya bongo au?

Mkuu moto2012 litapita tu humuhumu, na bei ni dollar mkuu hatupokei shilling
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom