Weka bei

Weka bei

Sijamuona siku nyingi huyu mtu, ngoja nikusaidie kumwita, life is Short pita mtaa huu
bysange
Salama yenu wandugu !! Wakuu nashukuru kunikumbuka kupotea kwangu "nilibahatika kupata visima kadhaa vya mafuta I discovered oil sites !! " Dunia ni mihangaiko tu.... pamoja daima, kila la kheyr!!
 
Mashallah akhiy Allah akupe zaid na zaid yaliyo halali kwako
 
Ameen !! Nimelenga kufungua ajira ya maelfu kwa wanaJF na WaTZ kwa ujumla. Mkuu engeza Dua'a...
"Ad3uuni AstajibLakum" .......hiyo Guaranteed.Amin
 
Utafanya busara sana. Suala la ajira ni wimbo wa taifa mkuu kila mtu anaimba
 
Sindo maana nalishughulikia, hukuona ughaibu wangu ulivyorefuka !! acha nimalizie urasimu na maDocuments yao!!

"Ad3uuni AstajibLakum"
 
Back
Top Bottom