Nisijekuambiwa nitoe hili....duh
umefanya vyema kusaidia maana nilishikwa na kigugumizi ghafla,nahisi majukumu yamembanaSijamuona siku nyingi huyu mtu, ngoja nikusaidie kumwita, life is Short pita mtaa huu
mkuu siku hizi macho nayo yanafirisi duka...hahahaaaaafahari ya macho...