Weird

Weird

wa zion

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
223
Reaction score
486
I have a friend ambae nashindwa nimuweke kwenye kundi gani kwanza she is a lesbian but anapenda watch gay porns...ninachoshindwa elewa zaidi bado yupo kwenye relationship with a man.Kwenye mahusiano yake na this mdada mwenzie ye ndo mwanamke still anapenda gays n yet bado kwenye commited relationship with mwanaume kamili...je hili ni tatizo,mazoea au kujitakia??
 
Kujitakia vilivomsababishia ni hivo katika red hapo, ndio maana kila siku tunaaswa tuache kujaribujaribu vitu ambavo havifai, ushauri wa bure epukana nae maana nawewe mwisho wa siku utaitwa lesbian
 
Samahani hii Avatar yako iko ovyo sana kama unaweza kubadilisha tafadhali
 
I have a friend ambae nashindwa nimuweke kwenye kundi gani kwanza she is a lesbian but anapenda watch gay porns...ninachoshindwa elewa zaidi bado yupo kwenye relationship with a man.Kwenye mahusiano yake na this mdada mwenzie ye ndo mwanamke still anapenda gays n yet bado kwenye commited relationship with mwanaume kamili...je hili ni tatizo,mazoea au kujitakia??
Hujui kiswahili vizuri au ndo kiingereza ambacho hukijui vema ? hebu jaribu kuandika kwa lugha moja tu tuone itakuwaje
 
Nadhan maneno nloandika kwa kiingereza yana uzito zaidi kwa lugha hiyo kuliko kwa kiswahili
 
Kujitakia vilivomsababishia ni hivo katika red hapo, ndio maana kila siku tunaaswa tuache kujaribujaribu vitu ambavo havifai, ushauri wa bure epukana nae maana nawewe mwisho wa siku utaitwa lesbian

Haepukiki we have been friend since o level advance school moja had leo chuo..nligundua hilo advance alipomleta huyo mdada mwenzie room wakaanza fanyana kuingia nikawafuma sasa ndo akanipa story yote yani sometimes nawaza kama yanaweza kua mapepo labda.nashindwa mtenga maana naona kama mim ndo mtunza siri wake
 
Ukijiweka katika nafasi hiyo basi atakutumia, tatizo la watu hao wakifanya uchafu wao wanapenda kuwa na mtu wa kumuadithia sasa utaadithiwa utashawishiwa na utakuwa na dhambi ya kushiriki vilevile, kama vp we muepuke tu after all huyo sio rafiki mbora
 
Vitabia tu mtu anaanza taratibu mpaka vinakuwa sehemu ya maisha yake.
Ni sawa na mvuta sigara tu tabia ikishakolea kuacha inakuwa tabu sana lakini njia zipo mtu anapokuwa na nia dhabiti ya kuacha anaenda kwa watu wa saikolojia.
 
I have a friend ambae nashindwa nimuweke kwenye kundi gani kwanza she is a lesbian but anapenda watch gay porns...ninachoshindwa elewa zaidi bado yupo kwenye relationship with a man.Kwenye mahusiano yake na this mdada mwenzie ye ndo mwanamke still anapenda gays n yet bado kwenye commited relationship with mwanaume kamili...je hili ni tatizo,mazoea au kujitakia??[/QUOTE]

HILO NI TATIZO LILILOSABABISHWA NA MAZOEA YA KUJITAKIA
 
She is bisexual. She can get satisfaction from a man or a woman.

Watching gay porn is just her fetish.
 
Huo muavatar wako???? Au ndo huyo unaemzungumzia?
 
Haepukiki we have been friend since o level advance school moja had leo chuo..nligundua hilo advance alipomleta huyo mdada mwenzie room wakaanza fanyana kuingia nikawafuma sasa ndo akanipa story yote yani sometimes nawaza kama yanaweza kua mapepo labda.nashindwa mtenga maana naona kama mim ndo mtunza siri wake
....mtunza siri wake?!...mbona umetoa habari yake hapa jf.
 
Kutoa siri bila kumtaja mtu c tatizo sababu watu wengi wanaweza kuwa na tatizo kama hilo...na pia ni njia ya kupata ushauri jinsi ya kujisaidia na kumsaidia
 
I have a friend ambae nashindwa nimuweke kwenye kundi gani kwanza she is a lesbian but anapenda watch gay porns...ninachoshindwa elewa zaidi bado yupo kwenye relationship with a man.Kwenye mahusiano yake na this mdada mwenzie ye ndo mwanamke still anapenda gays n yet bado kwenye commited relationship with mwanaume kamili...je hili ni tatizo,mazoea au kujitakia??

kiukweli sijaelewa... hmm!
 
Back
Top Bottom