MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Nov 14, 2014 #3 Bangi sio nzuri ukishakuwa mkubwa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 14, 2014 Thread starter #4 MO11 said: Bangi sio nzuri ukishakuwa mkubwa Click to expand... Hahahahaaa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 14, 2014 #5 Zingekuwa za kununua asingefanya hivyo, hiyo yote sababu za serikali
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,752 Reaction score 5,317 Nov 14, 2014 #6 Sijui nijaribu maneno flan hivi?!! Aaah nimegundua yataniletea kifurushi cha ban.
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 Nov 14, 2014 #7 hilo vazi la kufungia mwaka walai sijui nani dizaina
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Nov 14, 2014 #8 mshana jr said: View attachment 202164 Click to expand... mshana jr,​ kwani njaa ishakoma humu duniani?
mshana jr said: View attachment 202164 Click to expand... mshana jr,​ kwani njaa ishakoma humu duniani?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 15, 2014 Thread starter #9 Ngekewa said: mshana jr,​ kwani njaa ishakoma humu duniani? Click to expand... Ngekewa Nilishawahi kusema kuwa kama kila mtu akipewa nafasi na uhuru wa kufanya kituko fulani tutashuhudia mengi ya ajabu mno Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ngekewa said: mshana jr,​ kwani njaa ishakoma humu duniani? Click to expand... Ngekewa Nilishawahi kusema kuwa kama kila mtu akipewa nafasi na uhuru wa kufanya kituko fulani tutashuhudia mengi ya ajabu mno
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Nov 15, 2014 #10 mshana jr said: Ngekewa Nilishawahi kusema kuwa kama kila mtu akipewa nafasi na uhuru wa kufanya kituko fulani tutashuhudia mengi ya ajabu mno Click to expand... Wewe na mimi tutajizuia, wako wanaolazimika kufanya ili kuganga njaa.
mshana jr said: Ngekewa Nilishawahi kusema kuwa kama kila mtu akipewa nafasi na uhuru wa kufanya kituko fulani tutashuhudia mengi ya ajabu mno Click to expand... Wewe na mimi tutajizuia, wako wanaolazimika kufanya ili kuganga njaa.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 Nov 15, 2014 #11 aisee shughuli