Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Habari za leo?
Habari za leo?
Nakusubiri kuleee...mbona hauji?Mwache achelewe chelewe atakuta mwana si wake
Mungu anasaidia...siku imeisha vizuri kabisa sijui kwa upande wakoHabari za leo?
Ni salama kabisa kwa kweliMungu anasaidia...siku imeisha vizuri kabisa sijui kwa upande wako
Ni kweli wamo yaanHajarudi lakini sasa huwezi jua wamo humu humu,asije akasema hamjakoma eeee ngoja nifungue id niwaoneshe kazi![]()
![]()
Adui wa mtu ni mtu shoga
Wacha weeh naona umeamua kummaliza hazard kabisa na avatarHabari za leo?
Mdogo wangu mzima
Yani ndio namuona....hakikaa mtoto kaumbikaaaWacha weeh naona umeamua kummaliza hazard kabisa na avatar
Kitoto portableYani ndio namuona....hakikaa mtoto kaumbikaaa
Yaaah...hakinipi shida,kaje kakutane na super tallKitoto portable
WooooooooooozeeeeeerYaaah...hakinipi shida,kaje kakutane na super tall
Wacha weeh naona umeamua kummaliza hazard kabisa na avatar
huu ni uchocheziWaaaacha weeeYani ndio namuona....hakikaa mtoto kaumbikaaa
Kinabebeka yaniKitoto portable
Hawa supa tolu huwa wana shida mahaliYaaah...hakinipi shida,kaje kakutane na super tall
Haha wapi tena mamii?Hawa supa tolu huwa wana shida mahali
u luk amazing kwakwelWaaaacha weee
Haha basi nipm![]()
nikikwambia ntapigwa ban saiv apa