Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Atakuwepo mkuu,yule dada anajua mambo mengi sana mengi anayachota humuHivi kweli babra hassan anaweza asiwe ni mwanaJF?
Atakuwepo mkuu,yule dada anajua mambo mengi sana mengi anayachota humuHivi kweli babra hassan anaweza asiwe ni mwanaJF?
Sema aliamka na mimi. Toka majuzi nkifuata inbox ananibalasa



Halafu anakujibu yupo mkavu
Sasa unaachaje mambo matamu yakupite acha uwoga kunywaHivi unajua bia zilivyo tamu? Na puchi??![]()
Hahaha hapo anataka kupunguaMzigua una hatari wewe.....![]()

Aache uwoga anyweAsipokufa kwa kunywa pombe atakufa kwa malaria
Dawa ninayo ogopa ni fragyl a.k.a metronidazole hizo zote zilizobaki ukiaa masaa yako matatu vyombo unagonga kama kawaida....Mzigua90 kapost vitu hatarishi wakati nimemeza dawa hapa
Ila ngoja nizipige picha nimtumie daktar nione kama atanipa go ahead
Hahaha au sioAsipokufa kwa kunywa pombe atakufa kwa malaria
Woyooooooo6*6 hamna wa kumuuliza humu ndo shida. Sema kina beb wamenipaga nyota zote sekta hiyo![]()
Ninavoimagine wadada wa JF,napataga picha yake exactly..Atakuwepo mkuu,yule dada anajua mambo mengi sana mengi anayachota humu
Flagyl ukinywa na pombe,ni kwaheriDawa ninayo ogopa ni fragyl a.k.a metronidazole hizo zote zilizobaki ukiaa masaa yako matatu vyombo unagonga kama kawaida....
6*6 hamna wa kumuuliza humu ndo shida. Sema kina beb wamenipaga nyota zote sekta hiyo![]()
aiseeHahaha umenifanya nicheke kwa sauti kubwa......Vidole virefu kama kirungu cha bendi
Leo sitaki. Na nimezeeka siku hizi saa saba narudi kulala




shemeji banaPoa friji jeupe hapa ngoja nikafuate kret la biaDawa ninayo ogopa ni fragyl a.k.a metronidazole hizo zote zilizobaki ukiaa masaa yako matatu vyombo unagonga kama kawaida....
