Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Ndio mda wenu kuleni ujana mamii,,sisi wazee wacha tulewe maeneo yenye hosptali karibuNdo naondoka hapo ...naelekeaa GT then element

Ndio mda wenu kuleni ujana mamii,,sisi wazee wacha tulewe maeneo yenye hosptali karibuNdo naondoka hapo ...naelekeaa GT then element

HahahahaNdio mda wenu kuleni ujana mamii,,sisi wazee wacha tulewe maeneo yenye hosptali karibu![]()

Ukitoka hapo ukafanye mazoezi maanake utakuwa umekula mafuta ya mwezi mzima.Mapemaa tuView attachment 773882
Kuacha kula mdudu ni ngumu sana bora kuishi miaka 50 tu kuliko kuishi miaka 80 ya kujinyimaUkitoka hapo ukafanye mazoezi maanake utakuwa umekula mafuta ya mwezi mzima.
Kula halafu fanya mazoezi.Kuacha kula mdudu ni ngumu sana bora kuishi miaka 50 tu kuliko kuishi miaka 80 ya kujinyima
MxxieewwTunaendeleaView attachment 781306
TabataNjoo tabata. Yani leo napanda kitandanu saa kumi na mbili




kwahiyo umeanza kunywa mchana huu
Kama nakuona upo na ya ngapi mtafute shemeji yangu si unajua mitaa yake hiyoEeeh. Nimeanza saa tisa wala sio muda mrefu.
Ya nne hii. Shemeji ako niko na rafiki ake hapa halafu. Asije akaja akaleta jina la Mzigua bure.






Rafiki yupi yule aliyewakuta nae mikocheni ile siku hawezi bana si unamwambia kabisa asikuite mziguaMmmhEeeh. Nimeanza saa tisa wala sio muda mrefu.
Mgunoooooo vipiMmmh
Mpo kwenye mipango sioRafiki yupi yule aliyewakuta nae mikocheni ile siku hawezi bana si unamwambia kabisa asikuite mzigua

Mzigua90 kapost vitu hatarishi wakati nimemeza dawa hapaMgunoooooo vipi
He he bila mipango mambo hayaendi mjiniMpo kwenye mipango sio![]()
![]()
Mzigua90 kapost vitu hatarishi wakati nimemeza dawa hapa
Ila ngoja nizipige picha nimtumie daktar nione kama atanipa go ahead






Ulivyoongea mambo za daktar umenikumbusha screenshot moja ya mzigua jana WhatsApp kwenye stts