Hahahahahaa. Halafu unajua huyo dokta mshkaji wangu sana sijui alianzaje na kunisema na wababu







NilichekaaMmmmmh aiseeKwani unaogopa kufa? Piga vitu wewe
Aisee...mpo vizuriKumbe yule basi hana madhara unamwambia tu kabisa usiniite mzigua

Kunywa wewe acha uwoga kufa kupo tu hakuepukikiMmmmmh aisee
Tupo vizuri sana kwenye mipangoAisee...mpo vizuri![]()
![]()
Haha hapo hamaanishi kwa kutazamwa,,kasema upo vizuri kishape,kisura ila kwenye 6*6 ndio hajuiTuulize nyie watazamaji mi mwenyewe sijui

Ukimcheck yule kama yupo tabata ni kunywa mpaka usikuNgoja nimchek kwanza shemeji ako. Ila nataka kurudi home mapema mie
Hivi unajua bia zilivyo tamu? Na puchi??Kunywa wewe acha uwoga kufa kupo tu hakuepukiki
