LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,694
saa saba mchana au usiku?
Leo sitaki. Na nimezeeka siku hizi saa saba narudi kulala
Leo sitaki. Na nimezeeka siku hizi saa saba narudi kulala
Mtaje unaemdhania nitakuambia kama ndie au siyeNinavoimagine wadada wa JF,napataga picha yake exactly..
Ni r.i.pFlagyl ukinywa na pombe,ni kwaheri
Sasa si zitakua za leo tu ila huko niendako sidhani kama nitazikuta,labda nionge na watu wa dini kwanzaSasa tamu si ndo ukanywe tuu
Mkuu hiyo ni ya kuogopa kama ukoma mzee....Flagyl ukinywa na pombe,ni kwaheri



Leo siendi mbali muda si mrefu naenda zangu nexus kupata moja baridi then narudi kupumzika.....Karibu mkuu

Poa friji jeupe hapa ngoja nikafuate kret la bia![]()
ila bia ni tamu sana.....Yaani ni futi sita....Ni r.i.p
Niwekee na beer zangu na mm nikujePoa friji jeupe hapa ngoja nikafuate kret la bia![]()
Tips wapo vizuri, nilikuwa hapo Jana. Wanahuduma nzuri