Weekend yangu imeanza hivyo, anyone around Mwanza?

Weekend yangu imeanza hivyo, anyone around Mwanza?

niko na mood ya kumeet new people leo, anyone around rockcity? tuanze weekend leo kabla sijaondoka jmosi
leo nimeamka na kijifuraha changu chonde chonde wana jf msiniharibie heheheheheh
nb:ni kwa watu wazima tu 45+ below vijana tusisumbuane lolest
miungu watu wa jf ushauri pelekeni huko, piteni mbali[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
But valid hili tangazo?
 
45+ ulienda mbali sana brenda. Omba tena mtoko kwa jiji letu utatupata asee

🤣🤣🤣nilienda mbali sana si unajua enzi zile kichwa kilikuwa cha moto mimi mwenyewe naona hapa leo nacheka sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilienda mbali sana si unajua enzi zile kichwa kilikuwa cha moto mimi mwenyewe naona hapa leo nacheka sana
3yrs umeshabadilika sana? Nampa heko huyo kidume...
 
Ungekuwa me ninge kutafuta ila ke mwenzangu no...enjoy ur weekend
 
Back
Top Bottom