Sheffer95
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 274
- 771
Habari wadau, ndugu, jamaa na marafiki.
Je weekend yako inaendaje, share nasi kidogo
Weekend yangu kiukweli imeanza vizuri na taratibu, nimeanza kwa kwenda kutembelea kidogo miradi yangu, ambayo sikupata nafasi ya kwenda kwa muda kidogo.
Pia baada ya hapo nimepata wasaa wa kupanga mipango ya kifamilia na mke wangu + utani kidogo n.k
Sasa hivi nimesogea mahali Pana utulivu na band kwa mbali ikipiga mziki kwa taratibu (aiseee kuna watu wanaimba vizuri kuliko wenye nyimbo) napata mbuzi kitunguu, kachumbari kidogo na combo ya extravaganza huku nikimsubiri rafiki yangu wa muda mrefu tuendelee kupata mambo taratibu
Niambie wewe uko wapi na weekend yako inakwendaje?, karibu