Weekend uko kiwanja gani ?

OK mi nimevaa kibukta kifupi na kiblauz white nimekaa pembeni kulia ukiingia.
 
Watu wa viwanja unawatafuta JF...JF kuna loners tu ...kama si busy na simu basi computer...(ngoja waje)
 
In the club dancing non stop music, ukiingia club na kumuona mdada anakunywa maji makubwa kilimanjaro mwanzo mwisho na anacheza mziki bandika bandu bila kupumzika, thats Kasie.
 
Which club kansinde,nikuje .
 
In the club dancing non stop music, ukiingia club na kumuona mdada anakunywa maji makubwa kilimanjaro mwanzo mwisho na anacheza mziki bandika bandu bila kupumzika, thats Kasie.

Atamuona saa ngapi akinywa maji ilhali anacheza bila kupumzika??
 
Weekend raha,nahamia kiwanja ingine til morning,kesho kulala tu.
 
Tarime na text aka SMS mumeonana au bado??? mtupe update za apo
 
Last edited by a moderator:

Waonane wapi ndugu???
Mwenye kibukta kaulizwa mziki gani hajajibu,
Tarime nae katangaza kahama kiwanja.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…