Una huruma kabisa,huoni jinsi babu Ali alivyolambishwa vumbi na utu uzima ule,isitoshe alimtahadharisha kabla.Yule kama babu yako.Nimefurahi Sana Walter alivyo tembeza kichapo
Chombo ya Collin inaenda kwa mwenye meno walter
Itabid mwishon mwa mwaka huu tupige kura kwa hadithi bora kabisa kuliko zingine. Na huyu mdada japo tumtunze kwa utunzi wake(ni mtazamo wangu binafsi tu.)
Lara fanya kila uwezalo Sitaki kabisa kusikia Walter yuko na Iqra,