Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

mmh saa tano badoo! ila leo wkend ungepunguza muda angalaoo saa nne!.mweeee
 
We acha tu, kwani umeshajua kwanini babaake Walter alikua vile? Walter sasa inabidi ajue siri ambayo babaake hakumwambia.

Kwa sasa acha nitandike nijipumzishe kwenye kachumba kangu japo mashuka machafu kama ya Mujungu in those days, kesho huenda na Mimi nikapata wakunifulia...like those days za Koku na Mujungu.
Hpo pa mashuka machafu ka ya Mujungu umenchekesha sana Samaritan...
 
cCOLLINS

Collins alitegemea Hio ilitakiwa iwe moja ya mambo yaliomfurahisha sanaa katika maisha yake ila kinyume na hio, ikawa tu mambo yaliomsikitishaaa. All this while Walter kept him going with the search. Kadri Walter alibokuwa anaendelea na search na yeye aliendelea kuliko amuachie Walter ashinde akaona bora akomaae. Sasa hili la Walter kuoa lilimtishaaa si kidogo maana akaanza kupoteza matumani na kuona ujana unampita in vain not dating, not enjoying life, searching for a person who could be a ghost.

Akakosa kweli raha siku hio. At least he was happy for Walter kwa kupata mtu mwingine na ku grow past Iqra. Akawa amekaa anawazaaa na kuwazuaaa. Mwisho wake akajipa moyo Walter is bluffing hatooa, anampima imani tu au anampoteza maboya. Akajiambia hato amini mpaka amuone Walter akioa kweli kabisaaaa.

Akamkumbuka Daisy ambae kiukweli alimka zamani kishikaji tu kabla hajampata Iqra ila kumuharibia kule kulikuwa siko kabisaaa. And he couldnt forgive Daissy cause Daisy was older and she could have acted maturely but she chose not to. By then Daisy alikuwa kaolewa na mtu mwingine na amesha zaaa na kuzaa kabisaaa. Na they were okay yani salamu haihombi, wakikutana salamu ipo afu basi.

Akatafakari wazo kwa mbali likawa linamjia au Walter anataka kumuoa Iqra nini? Hahahaaaa! Akajikuta anacheka kwa masikitiko tu. If that will be the case hakuwa na uhakika nini kitatokea. He didnt want to imagine beyond that. Akaachia tu kiwaza kwamba Walter anamuoa Iqra ni possibility.

Pia akawaza maybe Walter gave up kwasababu hayupo na Iqra na anamuoa msichana tu mwongine which will be great sababu atabakia mwenyewe bt the time anampata Iqra anamaliza mambo kiulaini tuuu. Akatabasamu kwamba akimuona tu Iqra habari ya kwanza kimpa itakuwa hio kwamba Walter ameshaoaa, hahahaaaaaaaaaaa!

Akawaza pia huenda Iqra ashafariki huko Somalia labda, na ashazikwa na ameozaa kabisaa. Na yeye anapoteza tu mda kumtafuta mtu ambe hayupoo. Na hata akikaa miaka 100 bado hatoambulia kitu maana anachokitafuta hakipo kabisaaa ni sawa na buraa kabisaa jitihada zake.

Wazo likamjia sababu Iqra ameshindwa kumpata kabisaa maana alienda mpala UK pale anapoishi uncle wake hawakuwepo walihama na hamna mtu aliejua walipo, akawaza labda aanze kumtafuta Baba Iqra. Akimpata Mzee Idriss atampata na Iqra. Kwa taarifa za mwisho Mzee Idriss alionekana Somalia. Basi akatumia conections zake za AU na kuacess data za kiintelijensia za Somalia ila hakukuwahi kuwa na mtu kama huyo Idriss Mselem aliewahi kufanya biashara hapo Somalia.

Kama masihara Walter akamletea kadi ya mwaliko wa harusi yake. Na kweli akaenda kwenye hio harusi akamkuta Walter anaoa, ila mwanamke anaemuoa ni mtu mzimaa. Hahahaaaa! Sio kwamba alimdharau huyo dada la hashaaa ila hakuwai kuhisi Walter ni mtu wa watu wazimaaa. Ila akawaza kwa walter alivo na guts na ujeuri mtu mzima ndo anamuwezaaa. Angeoa kitoto kidogo angekiendesha sanaaaaa.

Collins alikaa mpaka mwisho akahakikisha anatoa zawadi kabisaaa. Mpaka mwisho Walter akaja kumwambia nashukuru kwa kuja. Wewe unaoa lini ndugu yangu? Hahahaaa! Collins yupo mwenuewe niko mbionii kabisaaa, yaani niko standby, mda wowote nafanikishaa jilo swalaaa.

Baada ya Walter kuoa akachagulowa kwenda kuiwakolisha nchi kwenye mkutano wa kijeshi wa duniaa Uingereza. Huko akakutana na wawakilishi wa nchi mbalo mbali ikiwemo za kiarabu. Basi akakutana na muwakilishi toka Dubai ambae katika maonhezi akamuomba amtafutie ndugu yake Idriss Mselem, mfanyabiashara wa Oman aliekiwa akiishi Tanzania miaka flani na alikuwa anafanya snaa biashara za Dubai Dar kwenye radar za Dubai. Yule mtu akamwambia nitapiga simu Dubai.

Kweli baada ya siku 2 akaletewa file na huyo ofsa wa Duabi, akasoma akakuta kweli ni baba Iqra, Idriss Mselem, passport yake, aliuawa Dubai na kuporwa fedha zote. Taarifa zilitoka magazeti ya Oman, na mwili wake ukaja kufatwa na kaka yake Nassor Mselem raia wa UK kwenda kuzikwa Oman. Akachoka kabisaaa kabisaaaa, akamuonea huruma sanaa maana kipindi yuko nae kwao kumbe huku ndo baba mtu alikuwa anashikwa na umauti akashindwa kuelewa Iqra alifata nini Somalia.

Akiwa huko huko UK akaamua kumtafuta Fahad kwa kumtumia afisa wa hapo hapo Uk. Akamwambia mara ya mwisho alikiwa kwenye shule ya watu wasiojiweza ya ghali sanaa London. Afisa akamwambia nitakupa jibu. Baada ya siku kadhaa akamletea file kamili la Fahad.

Kweli alokiwepo kwenye hio shule ila alitolewa baada ya wazazi wake kushindwa kumufu gharama na mda aliotolewa ni mda baba yao anafariki, na baada ya hapo akawekwa kwenye uangalizi wa serikali sababu alikosa ndugu aliemkubali au kumhitaji kumuangalia.Hivo akawa chini ya uangalizi wa serikali mpaka alivofikisha miaka 18.

Baada ya hapo sahivi yupo Edinburgh anafanya kazi aliopatiwa na serikali kwa uwezo wa akili yake, ana flat ya room 1 kitchen na bathroom, na maisha yake ni kutoka kwake, kwenda kazini na kurudi lwale. Ana ratiba zake ndo hizo hizo anazifata kila siku. Na yupo chini ya uangalizi wa serikali. Data zote zilikuwepo kwenye hilo file. Hana ndugu wa karibu wala familia.

Akaanza kuhisi huenda kweli Iqra kafariki, hawezi kuwa hai akamtelekeza ndugu yake namna ile. Akawa kakata tamaa kabisaaa. Mkutano uliboisha akafu ga safari mpaka huko na kwenda kwenye mgahawa alio uona kwenye file. Akafika mapema kidogo, akamuona Fahad anakuja akaingi akakaa. Akaletewa chakula chake cha kila siku akala.

Collins akamfata alipokuwa amekaaa, wahudumi wakamuwahi kwamba huyu mtu hana akili vizuriii so achana nae, akili yake ipo slow, tunamjua hapa kila siku anakula hapa. Collins akawaambia mi namjua, wakamkaziaaa. Wakajua tu Collins ni nigger anagaka kumtapeli Fahad. Katika purukishani Fahad akawaona akaita Collins na kumkimbilia. Wakaridhika kwamba kweli anamjua, na wanajuana.

Basi Collins akapiga nae story 2 tatu, akawa anamsimulia kuhusu kazini kwake anachofanya kila siki, maisha yake kama ilivokuwa kwenye lile file. Collins akajaribu akumuuliza Iqra yuko wapi? Fahad yupo Iqraaaa! Akamuuliza taratibu mpaka akaelewa ila akasema hajui alipo, hajawaona siku nyinhi sanaa, yeye anaishi alone tu.

Cpllins roho ilimuuma sanaa, ila cha kufanya ndio kikawa hamnaa. Akazidi kuamini Iqra kweli kafa. Maana Fahad hajawaona miaka mingi sio Iqra, sio bibi na sio baba. Katika hio list baba alisha RIP. Akazidi kuchoka kabisaaa. Fahad akamuuliza atakuja lini tena Collins akamwambia nita kurprise. Hakutaka kumwambia manake kwa akili ya Fahad ange msubiria na ingemuharibia mtiririko wake.

Akawasiliana na yule ofisa amtafutie Iqra Idriss Mselem jr na Iqra Hemed Mselem amabe ndo bibi. Likaja file limepigwa decesed moja, roho ikafanya paaaah akajua ni Iqra wake. Kifungu kumbe ni bibi alishafariki kitambo sanaa. Mwaka aliokufa baba Iqra unaofata bibi nae alifariki.

Akaanza sasa kuona matumaini yanaishaa maana deceased zinazidi kwenye list yake. Akakat tamaa, akaamua akamuage Fahad arudi zake bongo. Safari hii hawakumzuia wala nini wakawa wamekaa na Fahad anazungumza nae. Fahad anaongea yale yale ya juzi waliokwisha ongeaaa.

Kabla hajaondoka kuna golden chain locket, ilikuwa ya Iqra originally alipewa na bibi yake ikiwa na picha ya Iqra na Fahad, ushosti wao na Iqra akaweka picha ya Fahad na Carina, siku akaamua kumpa Carina akaweka picha yake na Carina akaandika sisters forver. Collins akamvalisha ile locket Fahad akamuaga na kaamua msako wake wa Iqra ndo umeishia hapo.

Akirudi bongo atafanya maisha mengine bila Iqra.
 
hahaaaaaa raha sijaelewa ndio imeisha hivi hivi kweli
 
Hpo pa mashuka machafu ka ya Mujungu umenchekesha sana Samaritan...

Ha ha haaa, umesahau Koku alivoenda kwa Mujungu siku ya kwanza ghetto chafuu, akafua, akafanya usafi, akapika menyu..kitu kilichomfanya Mujungu atangaze nia bila kuuweka usiku.
 
Hpo pa mashuka machafu ka ya Mujungu umenchekesha sana Samaritan...

Ha ha haaa, umesahau Koku alivoenda kwa Mujungu siku ya kwanza ghetto chafuu, akafua, akafanya usafi, akapika menyu..kitu kilichomfanya Mujungu atangaze nia bila kuuweka usiku.
 
Collins anamahaba ya kifilipino aisee..........cjui niite story o movie maana tamu hatar
 
Duh! Ukweli huuuu,... Mchungu aisee Iqra kaenda Al shabab nini??!..japo bado nahope atarudi kwa collins
 
Lara so aqra Alisha kufaga mmm kweli nimeshindwa kuubeba ukweli
 
tafadhal lara 1 mi kilio changu kipo kwa iqra.Iqra yupo wapi sasa sawa ni stor lakini nitoe hofu hivo hivo tu niambie iqra yupo wapi kwanini unitese kwa mawazo ebo mi ni mwanaume et nisije nikalia mbele ya mke wangu lara tafadhal niambie niambie tu!!
 
Pamoja na kuzaliwa ughaibuni, elimu bora, maisha safi, pesa kibao na maadili mema.....vyeo kedekede na connections lukuki na interejensia ya kutosha plus read handed (sijui nimepatia yai)

Walter is still my favorite - atachomoka tu "Walter The Great"
Namkubali sana Walter
 
Ha ha haaa, umesahau Koku alivoenda kwa Mujungu siku ya kwanza ghetto chafuu, akafua, akafanya usafi, akapika menyu..kitu kilichomfanya Mujungu atangaze nia bila kuuweka usiku.
Nakumbuka ndo mana nmecheka ulivyojifananisha...
 
Daaah! Ngoja tu nisubirie hyo Grand Finale... Nimeshindwa kuhandle the truth kwa Iqra kutokuonekana.....daaaah! Inahuzunisha Sana
 
Back
Top Bottom