Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Kuna kitendawili nilitamani kiteguliwe juu ya babaake Walter. Nikadhani ni Mujungu. Ila stori tamu sana. Leo nimeisubiri kwa hamu iishe ndo nami nizame zangu kusimamia shoo ya kibabe
 
Lara weka kitu basi niachane na simu nikasimamie shoo

Mie nishapiga mtu tayari, sio kwa story za Jana usiku. Nikimaliza kupitia Le Grand Finale na lalakwatuuu kwa raha zangu.
 
Sijui kwanini pamoja na mtiririko wote huu na vituko vyote na utukutu wa Walter bado niko upande wake, na nadhani Walter ali deserve kumwoa Iqra pamoja na madhaifu yake....ila baas mwenye story yake ameshaamua!
 
Dah! Kweli hata Mimi I can't handle the truth, action linaanza ghafla movie inaanza kupitisha majina ya wahusika ikifuatiwa na THE END.

Natamani iwe Bong Movie, tujipe matumaini ya Part 2.

Team Walter tumezidiwa dau, lara 1 kishafanya yake...

Shukrani sana kwa burudani Mujarab!
 
Thank you Lara!!ntalala sasa,,si kwa furaha hii Mpaka Nmemmis baby wangu ati!!!hahahaha
 
Acha nijiliwaze kwa round nyingine japo imeshatumbukia nyongo, afadhali nilikamua ya kwanza wakati nasubiria Grand Finale japo hii show imeingia dosari baada ya Kiongozi Walter kumkosa shombe wa kiarabu.

Katika maisha sio Mara zote tutapata kila tunachokipenda, wakati mwingine inabidi kupenda tunachokipata.
 
Dah! Kweli hata Mimi I can't handle the truth, action linaanza ghafla movie inaanza kupitisha majina ya wahusika ikifuatiwa na THE END.

Natamani iwe Bong Movie, tujipe matumaini ya Part 2.

Team Walter tumezidiwa dau, lara 1 kishafanya yake...

Shukrani sana kwa burudani Mujarab!

Nilitaraji kujua baba mzazi wa Walter na connection yake na victims wengine kwenye huu mkasa!
Nilitamani kujua sababu ya baba mlezi wa Walter (Chapombe) ilikuwaje akawa ndani ya Gwanda za kijeshi wakati hakuna mahali mbeleni penye ufafanuzi!
Nilitamani kujua destiny ya Walter na kazi yake na maisha yalivyoendelea akiwa na chaukorofi wake Inspector Janeth
Nilitamani kujua hatma ya Muddy na Grace...
Nilitamani kujua destiny ya Fahad
Nilitamani kujua life after fujo za ujanani kwa Carina na training alompa mama yake ilihali Mzee Mujungu ndo basi tena
Kwanini Carina alielewana haraka na Fahad kwenye ile birthday,kwanini alimwonea huruma sana Iqra wakati Collins alipotaka kumtoa sill? Palikuwa na chemistry gani kubwa namna hivyo in between!
 
walter sio wa kukubali kirahirahisi lala1, hili saga lingemalizwa na walter kweli haki ingetendeka. good for him mtoto wa mama collin
 
Uko sahihi mkuu, kwenye fasihi kila fundi hua ana aina yake..hata movies zingine Kali hua zinaisha kwa kuacha maswali mengi yasiyo na majibu, na huo ndio utamu wenyewe wa movie sasa
 
walter sio wa kukubali kirahirahisi lala1, hili saga lingemalizwa na walter kweli haki ingetendeka. good for him mtoto wa mama collin
Ila nilichojifunza ni kwamba mtoto Iqra ni habari nyingine kabisa na angekuwa ni mtu halisi basi list ya watu wa kumfariji ingekuwa ndefu sana! Nina binamu yangu binti rika lake kabisa,alafu mtoto wa mjini angekuja naye nyumbani picha lingekuwa refu zaidi na ningetunishiana misuli na kina Walter japo mimi si mjeda kama wao!
 
Back
Top Bottom