Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Noooooo pls jamani Lara isiwe hivi! [emoji22]Usishangae ukaambiwa Walter na Inspector wanashea baba na mama. Iqra akapata mimba ya Walter. Grace akaliwa na Collins. Muddy hana chake.
Nakuomba sana usibadili gia angani.
Iwe tu kama ilivyo
Walter [emoji131] Inspector
Collins [emoji131] Iqra
Muddy [emoji131] Grace
Nitaumia mno ikiwa tofauti na hivi.
Sitaki kabisa kumsikia Firaun Walter yuko na Iqra.