Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

***** Collins kammbato mtoto Iqra...ila nimesoma sehemu anambikiri nikakumbuka mbali sana...I used to open those iron gates very much....usipokuwa fundi mjanja demu harudi tena....
 
Duh, Daissy kaharibu mno. Donda hilo kupona sijui

yan kamvuruga iqra wa watu,,, sema nn hapo collins ni kumtumia carry akarekebishe mambo!

ukizingatia na wema aliomfanyia london plus party ya mdogo ake lazma amsamehe si unajua wanawake tena akipenda!
 
Collins and Iqra wat wat whaaaat? Aaah hapo afadhali kaende kwa Walter katajua kanapendwa nako le inspector commandor in charge anaweza kuja kuvuruga hali ya hewa. Masikini Iqra.....
 
Hapa nimefturu ki digitali ili nisilale, mimi si ndio mwenyekiti wa team popo? Hii yote maandalizi ya ze fainale!!!!
 
Yani naogopa hata kupredict what will happen OMG...
I wonder if am one of the tittle beneficiaries
 
leo silali ng'oooooo! japo saa tano parefu ntashtua na wine
 
SNEAK PEAK YA DAKU HIO! WALTER AKIPASHAAA! LEO STORY INAISHAAAA JAMANIIII!!!!!!!!11 MSILALEEEEEEEEEEEE!





hapo unamalizia kabisa na Good Enough ya Bobby ili story iishe murua lara 1
 
WALTER

Walter akawa hajakataa tamaa kabisaa na Iqra, toka siku ile usiku akawa kila siku anapita dukani hamkuti anaambiwa hajaaa. Kesho anaenda tena na kesho na kesho tenaaa. Bila kukata tamaa, kwa mambo yalipokuwa yamefikiaaa hakutaka kufanya foul kabisaaa.

Siku hio kaenda dukani akamkuta Iqra analiaaa. Akawa amekaa tu karibu yake. Analiaa mfululizo kiukweli ile hali ilimuogopeshaaa saaaana, akajiapiza akijua boya yoyote aliemzingua mtoto Iqra atampiga hadi aueeee. Yaani atamkungukutaaaa sio kidogo hata kama ni kale kaboss mavi Collins, potelea pote atakapigaaa.

Akawa kamsogelea kumliwazaa, Iqra nyamazaa, nyamazaa hanyamazi wala nini. Basi ndo anambembelezaa hivo hivo akamshauri watoke wakazunguke sehemu zozote kusudi aweze kupoa hasira na amsimulie nini kinachomliza. Iqra akawa kakubali ila njia nzima kilio vile vile. Walter anambembeleza ananyamaza kabisaa mpaka wanaanza kucheka vizuriii baadae akiona labda mtu na mpenzi wake wanapita wameshikana mikono kilio kinaanza upyaaa.

Mpaka giza likaingia Iqra bado hayupo stableee, analia kwa intervals na kwa uchungu mkubwa sanaaa. Sasa Walter hata akimuuliza akitaka kumsimulia anataja tu Collins afu anashikwa kwiwikwi na kilio kinazidi upyaaa. Moyoni Walter anajisemea Collins kama ume mbaka huyu binti nitakupasua pasua hilo halina ubishiii. Ila akangoja Iqra hasira zipoe ili apate uhakiak wa kilichomsibu.

Giza lilivoingia akamualika bar, Walter akawa anakunywa Whisky, Iqra anakunywa sodaa, basi ule muziki pale bar, story story kidogo akawa kapoaaa. Baadae Walter akampa whisky kidogo imchangamshe na kumpunguza stress kama shots 2 tu za kuzimua ili kilio kikatike. Iqra akazigida kama maji, zikamuingia rohoni akachangamka sasa. Akamimina shots ya 3 akawa anajitia nae mlevi sugu. Akapata nguvu za kumsimulia Walter.

Walter kaka angu nakwmbiaaa Collins Maku tuuuuu! Unafikiri Collins maku tuuuuuuu, sio mwanaume wala nini. Hana akili mngese baridi tuuuuu yule nakwambiaaaa. Anakunywa shots kidogo anaendelea. Walter anafurahi kishenzi hasimu wake kutukanwa vile mpaka anahisi nyege nyege mwiliniiii zinamnyevuaaaa. Anamtia ndimu Iqra, kwani yule choko kakufanyajeee nambia nikampasueee pasueeee, yaaani nikimuona cha kwanza namlamba kitofaa cha kisogo, simpendi yuleeeeee. Simpendiiiiii.

Iqra anaendelea kusimulia kanifanyia kitu kibaya sanaaaaaaa, mi nilikuwa sijajua tabia zakeee, kama mshenziiii, nilijua mtu wa maana sanaa, si nikampendaaa, mi nimempenda tu basi tu simpleee ile mtu unampenda kiroho safi sijui kama unanielewa Walter. Iqra akachukua shots akaimalizia kwenye glass. Akawa kalewa sasa chakariii. Mi nimempenda kwa roho mojaaa, nikampa bikra yanguuuuuuu, bikraaaaaaaa Walter, Ningeenda nayo Dubai au Oman kitu kikubwa sanaa, ila nyie watwana hamjui thamani ya bikraaaa. Anyway sio big deal, sio big deal! Akachukua chupa sasa anakunywa anaona glass inamzingua. Basi kumbe ana mwanamke, asubuhi katoka kumfanya mwanamke wake mwingine jioni, tukaanzaa, asubuhi kaenda tenaaa kule kule jioni kaja kwangu tukamalizaa, mwanamke wake akaa anadai wanaenda kufayana. Matusi mazito sanaaaaaaaaaa Iqra akaachia.

Tofauti na matarajio ya Walter, Iqra alivokuwa anasimulia alijisikia uchungu sanaa, akajiapiza Collins siku atakayokutana nae ama zake ama za huyo Collins. Baradhuli mkubwaaa aliekosa haya kabisaaa na asiojua vibaya. Akamwambia Iqra wewe yule niachie mieee, nitamnyoosha na kumtia adabuuu. Nachie mieeeee. Usimfirie wala kumuongelea kabisaaa kuanzia sasa. Jua kesi yako ishafika kwa mjumbeee.

Walter akamshawishi wahamie club, wakahamia club, basi na ule ulevi na kulivowakaaaa huko club Iqra mawazo yakamuisha kabisaaa. Akaanza even to have fun. Maana Walter anajua sanaa kucheza mzikiii, yani ni beyond flexibleee. Basi akawa ana mchezesha na yeye moves hatari kama hizoooo. Kikawakaaaa kinomaaa kinomaaaa. Kwa kweli Walter alimfaa sanaa siku hio kupunguza mawazooo. Na ulevi unaendeleaaaa. Walter akampa sigara apashe kidogooo. Iqra akakubali si ashalewa tilalila

Basi Walter akajisikia nyumbani kishenziiii siku hio na Walter, he didnt even have to try hard kumuimpress, ikawa kama they were destined for each other. Akatamani waishi maisha hayo na Iqra mileleee, kama Bonny and Clyde. Akajiapiza kama dunia ikimkubalia kumchekea na akawa anaishi hivo na Iqra basi ataacha ukorofiii kabisaaaa. Yani he was never happier in his life kama siku hio. Akajiona kama dunia iliumbwa kwa ajili yake.

Basi anavommiliki mtoto Iqra watu wanamuangalia, wana mu admireee, yaani wakamrudisha kitambo kile cha Dodoma, maisha ya anasa kama hayo, kutumia ulevi kwa wingiii na miziki kwa wingiiii. Akajua tu Dodoma haikubamba sanaa sababu ubavu wake wa pili haukuwepo siku hizo. Akalewa kwanini Muddy alikuwa anaona jua tofauti na livokuwa analiona yeye. Na akajua jinsi yeye siku hio alivouona mwezi ni mzuriiii kuliko alivokuwa anafikiria ni mzuriii, ni upendo tuuuu ndo umebadilisha perspective yake yooote. Akatamani mda usimamie pale pale.

Wameenda wameenda full music, Iqra akazimaaa. Walter akambeba juu juuu akaenda kuchukua hoteli. Akamvua nguo zote maana alishajitapikia mara kadhaaa, maana pombe sio chai, na ulevi una wenyewe na wenyewe kina Wlater sio Iqra. Akamvua nguo zote kasoro chupi tu ndo haikuwa na matapishi. Akawa anamuangalia tuuuu afu basi roho yake inaridhikaaa. Akimuangalia anaridhika kabisaa nafsi. Usiku mfupi uliobakia kuanzia hio saa 10 mpaka saa 2 anamuangalia tu Iqra na kuvuta sigara na kuendela kunywaa. Walter anaweza kunywa week nzima non stop.

Baadae kaamua kulala, kaja kushtuka saa 8 mchana Iqra bado kaulazaa, akaendelea kumtizama tuuu. Saa kumi akastukaaa anajikuta yuko na chupi tu. Akstukaa na kumkimbia Walter anajikunyataa anauliza nini kimetokeaa mbona niko hapa uchi, mbona na wewe uko hapaaa. Walter akamsogezea chupa ya whisky! Iqra akamfanyia hapana Haram hio. Sasa ndo anasikia kichwa kama mtu anampiga na nyundooo, nyundo yenyewe kubwaaaaaa. Walter anamwambia hio ni hangover. Iqra hoiiii!

Ndo akanza kumkumbuka Daisy, na Collins, machozi yakaanza upya kumtoka akajikuta kaivuta harama mwenyewe na kupata funda 2, 3 za fastaaa. Ila sasa kichwa ndo kinamuuma balaaa. Walter akampa maji baridiiiiii, akawa anakunywa huku anajimwagia kichwaniii. Huzuni ikaanza kumrudia upyaaa. Walter anajitete sijakufanya kitu, nguo ulizitapikia sanaaa, nimezifuaaa zote na kuzianika bafuniii, sijakufanya kitu kabisaaaa.

Iqra ahaanza kuona yeye kuwa issue sio big deal kama maumivu ya moyo yasiyo poa kwa ganziii. Akawa kajiachia kabisaa na chupi yakeee, anamuomba Walter nisaidie nakufaaa mwenzio na hiki kichwaaaa, nakufa mwenzio na mawazooo na stresss. Nisidie vyote yaani sijiwezi kabisaaa. Naiona dunia chungu kabisaaa.

Walter hapo anajiona yeye na Iqra ni bonnie and clyde, undergorund king and queen basi anambembeleza malkia wake kuwa ajikazee. Iqra anagugumiaa maumivu. Walter akamwambia njoo nikuogesheee utapata ahueniii.. Basi Iqra akitaka kurudi kwenye senses ile hali ya kutendwaa inamuumiza anajikuta anajaribu ku escape the truth anamkubalia Walter kama itasiadia poa. Walter akamkokotea bafuni akafungulia shower, sasa Iqra hana balance vizuri ikabidi amugemeze kwake kifuani, maji yanatirirka baridiiiii yanawaangukiaaa. Aaaaaaaaaaahhhh! Walter kitu hiki hapaaa kishafanya mambo yake ya Martin. Anajitahidi kujicontrol wapi. Ngumuuu, ngumu sanaaaaa.

Akajikuta tu kamla mate yule mtoto kinyume na matakwa yake tenaaa, afanyaje na mwili ushaatamani. Mtoto kapokeaaa ambo, wakaanza kwenye shower hapo fore play kama kawaidaaa. Moyoni Walter anawaza yaani leo usipo msahau yule baradhuli Collins mimi sio Walter, nitakupa michezo hujawahi kupewa wala hutokaa upewe. Akaanza kwenda nae levels zinazotakiwaaa. Kiukweli kwa Walter akashukuru yale mambo yakawa yanampunguzi stresss, kidogo ana feel something else apart from pain. Kweli maumivu ya moyo hayapoi kwa ganziiii.

Walter mtoto kaenda nae mdogo mdogo, mechi ya kivivu ile anafanya kila jambo na kumonitor feeedback kwanza, maana hakutaka kubahatisha wala kukosea chochote. Basi anampa mtoto malovee lainii taratibuuu, yeye ndo Walter bwanaa wengine wote copy. Mtoto kuwa kawiva tayariii akamuuliza kwanza baby is this what you want sitaki ufanye vitu moyo wako haujaridhiaaa. Iqra akamtikisia kichwa tu kwamba ndio nachotaka babaaa maswali na majibu ya nini tena mida ya kazi hiii? Myoni anawaza tu moyo wangu hauna thamaniii.

Walter kapmelekea mtoto bastolaaa kiufundiii na kiumaridadiii hajasikia maumivu hata chembeee, Iqra akajua haijaingia yote labda ndo mwanzo mwanzo, akaja kusikizia rahaaa tu huko za baadae. Kiukweli Walter kupeleka bastola ikulu ali plan kufanya ufundi mwingi sanaa na madoido mengi sanaaa, sasa hali tulivu na elekezi alioikuta ikulu akajikuta badala ya kufanya kazi aliotumwaaa, akajikuta anajiachiaa huko na kupata reha yeye kajisahau kabisaa. Kuja kustuka hajafanya aliloplan taari wazungu haoooo.

Yaani siku hio Bonnie and Clyde walikutanaaa, maana Walter alielemewa zile rahaaa, for once in his life kwa mwanamke wa kwanza Walter alishindwa kusimamia show, na kujikuta na yeye ni mchezaji tu katika hio show. Kiukweli alifaidi sanaa, na akagundua kwa wanwake wengine anapunjikaaa, maana yeye tu ndo anawasambazia rahaa zisizo na kifaniii afu mwisho wa siku yeye anatoka bila bila .

Baada ya goli mbili wakawa hoi kabisaaaa. Iqra akaenda kuoga akamwambia nisubiri nakuja naenda hapo Kariakoo kuchukua nguo. Walter akangangani ampeleke, Iqra akamgomea na kumuahidi kwamba anarudi hapo mda si mrefuuu. Walter akawa kajila anamngoja ubavu wake wa pili arudi pembeni yake. Akaapa hatokaa amuche Iqra amponyoke milele.

Amekaa weee mpaka saa 5 usiku. Iqra hajaaa. Kwao Kariakoo hakujuiii. Akachoka mwili na roho. Akaona hakukuchi akaenda kariakoo kuulizia ulizia kwa walinzi wakasema hawajamuona mtu kama huyo. Asubuhi akangoja maduka ya kina Iqra yafunguliwe apate habari hayaklufunguliwa. Akamtafuta siku 3, akaenda mpaka shule kumtafuta akaambiwa hawana taarifa zake nao wanamtafuta. Akapanic, akaumiaa rohoooo, akanyanyasika nafsi akajua tu kwa vyovyote ni COLLINS NDO ATAKUWA KAMCHIMBIA IQRA MAHALI. Akaapa hatopumzika mpaka ampate Iqra akiwa hai au amaefariki.

Kurudi jeshini kule mafunzo ndo yalikuwa yakielekea ukingoni, akaulizwa siku 4 alikuwa wapi bila taarifa, akadai hakumbuki ila alijikuta hospitali kalazwa. Akamuomba na Inspector amkingie kifuaaa, soo likawa limepitaa salamaaa kikubwa siku hio. Moyoni bado anawaza Iqra atakuwa wapi hapati jibu.

Jioni akaenda kwa Inspector kupoteza mawazo hata kwa maongeziii tu, kuffika kule akamkuta Inspecto ana furahaaa za ajabuuu na ilishapita kama miezi mi 2 hivi tangu wanjunjane na Inspector, akawa so bussy and occupied na mambo ya Iqra kwa hio hakuwa na mda wa ku catch up na Inspector. Inspector alipika wakala kama kawaidaa akampa GOOD NEWS kwamba THEY ARE EXPECTING, manake she is PREGGO au PREGNANT. Basi Inspector kamwambia hayo kwa bashasha kubwaaaa. WALTER WAS JUST SURPRISED

ITAENDELEA KESHOOO. KUIMALIZA LEO IMESHINDIKANAAAA. TUJITAHIDI KUSOGEA SOGEA.
 
Life sometimes linafurahisha, cjui kwa nn vitu vinavyofurahisha ni vichache mnoo, ila bandindu komando walter kama naliona vile, huyo bidada wa kiarabu ajiangalie atakuja ameduriwe wimawima, hahaha
 
Back
Top Bottom