Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Alaf hawa mods warekebishe hili tatizo, ukiwa mentioned haupati alert, wakati mwingine unakosa fursa au wito wa muhimu.
Can't say about that kwasababu for weeks now I haven't actually had the time to check, leo nimeingia ndio nimekuta wito huu kuntu kabisa. lara 1 took me out of my 'cave' - y'know, that place where we shut off the world and make software for the world to use. I guess I was in there for way too long, I needed this. Thank you, my lady lara 1.
 
Bora uisogeze sogeze Lara, hii story kuisha mapema ni msiba.
Ongeza visa Lara,hushindwi eti?
Bado hatujui wazazi (halisi) wa Walter wana hali gani.
Natamani kuona wazazi wake wakiwa proud na kijana wao,
Baba yake kaacha ulevi n.k
 
topr njoo ujionee........eti Iqra kammegea Walter papuchi bila tatizo *****.....
Ila poa tu,mtoto atachukuliwa na Collins for anymean.
 
Looh walter sipatii picha atapochafukwa na habar za huyo inspector khaaaa
 
Bora uisogeze sogeze Lara, hii story kuisha mapema ni msiba.
Ongeza visa Lara,hushindwi eti?
Bado hatujui wazazi (halisi) wa Walter wana hali gani.
Natamani kuona wazazi wake wakiwa proud na kijana wao,
Baba yake kaacha ulevi n.k

Usishangae ukaambiwa Walter na Inspector wanashea baba na mama. Iqra akapata mimba ya Walter. Grace akaliwa na Collins. Muddy hana chake.
 
Eti me naona kama picha ndio linaanza vile asa hiz habar kwamba inaisha sielewi
 
Weraweeeeeeeeeeraaaaaaa! Hatimaye my homie Walter kamla Iqra...yule ndo anamfaa huyo pwimpwi Collins tupa kule
 
Lara 1 usitufanyie hivi jamani,embu ivute vute basi ehhh,kweli iishe this soon?? Ahhhhhh
 
Back
Top Bottom