Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Uuuuppphhh afadhali kawa Collins.
Yule mwanakharamu Walter ndio byebye tena.
Na hivi Iqra keshajua Collins ndio yule wa London tena?
Swaum Maqboul...
Nasubiri mida ya Iftar
 
Daah huyu Carina katika siku alizoniudh ni Leo byabyakeku si kwa kuharbu huko
 
Hata goli la mkono kashindwa huyo collins, safi sana goma la walter kama nilivyotabiri
 
Wote tunajua jinsi Walter alivyobandidu, tunajua alivyokwisha na kuoza kwa Iqra, hakuamini kabisa ile kusingiziwa u boyfriend na sijui kama anajua ilokuaje akaokota tende kwenye mpera. Ila all in all, huko aliko anajua Iqra keshaingia line na anawaza jinsi ya kupembejea penzi changa.

Hata kama Collins akikamua (kitu ambacho sikitarajii) bado Walter ananafasi ya kumghasi Iqra kudai muendelezo wa movie, Walter sio wa kuambiwa eti ...nilikua tu nataka unisindikize, na kutambulishwa kote Kyle kwamba ni BF..

Iqra anajua fika mtiti wa Walter, sijui kama atahimili kuchomoa, hapo labda Collins atibue kwa kigezo cha ubosi, na itakua mbaya zaidi akiamua kurudi kwa Grace kupata ukweli wa umalaya wa Walter, hasa kama ataweka wazi kwamba aliwahi kumbaka.
 
Hhahaaaaaaa! Naona vikao vyenu vya dharulaaa basi nachekaaaa sana. hahaaaaaaa. I DONT THINK ANY OF YOU CAN HANDLE THE TRUTH
 
For sure...! Mi nipo kimya tu kitakachokuja ntakipokea kama kilivyo mana Lara 1 ww kichwa chko mashine (kwa sauti ya Ben Pol )...
 
Wote tunajua jinsi Walter alivyobandidu, tunajua alivyokwisha na kuoza kwa Iqra, hakuamini kabisa ile kusingiziwa u boyfriend na sijui kama anajua ilokuaje akaokota tende kwenye mpera. Ila all in all, huko aliko anajua Iqra keshaingia line na anawaza jinsi ya kupembejea penzi changa.

Hata kama Collins akikamua (kitu ambacho sikitarajii) bado Walter ananafasi ya kumghasi Iqra kudai muendelezo wa movie, Walter sio wa kuambiwa eti ...nilikua tu nataka unisindikize, na kutambulishwa kote Kyle kwamba ni BF..

Iqra anajua fika mtiti wa Walter, sijui kama atahimili kuchomoa, hapo labda Collins atibue kwa kigezo cha ubosi, na itakua mbaya zaidi akiamua kurudi kwa Grace kupata ukweli wa umalaya wa Walter, hasa kama ataweka wazi kwamba aliwahi kumbaka.
Ona habar zako hivi wewe mbona unakuwa upande wa walter?? Unaniudhi muone kwanza ... na kwa taarifa yako hata kama walter atamtifua iqra ila collin ndio atammiliki.. au sijaelewa unazungumzia kuzindua mechi au umiliki halali???
 
Hhahaaaaaaa! Naona vikao vyenu vya dharulaaa basi nachekaaaa sana. hahaaaaaaa. I DONT THINK ANY OF YOU CAN HANDLE THE TRUTH
Lara me naumia jinsi unavyopeleka haya mambo jaman ila ikumbukwe hata kwa mudy grace alipigwa na walter lakin yuko na mudy hadi leo... though naziona dalili kabisa I CANT HANDLE THE TRUTH...Bati pliz du mi a feva..
 
Haijarishi collins kamnawa iqra...
Kwa ubabe wa Walter na ile amazing dancing style yake, mtoto atavutika tu ka inzi kwa mtego wa buibui kutaka mtoko mwingine japo kwa siri!!
Guess whaaat! Walter hatafanya ajizi lazima utando ulie tsiii kama sio tsuuu kumuingiza iqra ukubwani!!
Collins na uboss wake wont buy a sh!t coz mtoto wa kinyakyusa the bigbouse atampa hedging ya kutosha na vile mdingi ndo top manyota!!
Collins atasubiri sana make anaendekeza ma lovedove wakati kubwa la maadui aka bedui-walter ni mzee wa shoo nzito 4-0 mwendo mperampera...
GUESS, M CAPABLE OF HANDLING THE TRUTH!!!
 
Umenikumbusha My Childhood Arabian Crush Samia. Wazazi Walikua Wanatania Mke Wangu Mara Mchumba Wangu,Siku Iyo Kibabababa Kiliponoga Mbona Ndoa Iliconsumatiwa Wanakuja Kushtuka Nshajimilikisha Kila Nkitoka Primary Nafikia Kiporo Changu Cha Wali Nikishakula Alafu Haooooo Kucheza Kibabababa Na Samia Hadi Siku Moja Tulipobambwa Na Mnoko Flani Ivi Dah.
Sadly Tumepotezana Sijaonana Naye Tena!

Njoo inbox uniambie anaitwa Samia nani?

Yupo Samia mtoto wa kihindi namjua
 
Lara 1 uwe unawaandikia hawa bongo movie script mhh sio kwa story hiz au uwe unawasaidia wana music kutengeneza story video za nyimbo zao afu unapata pesa
 
Daaaah! lara 1 hiyo hatareeee.........nimevuta hisia mpaka nimeona Iqra alikuwa amevaa chupi nyekundu......

Collins zona Sana......an hajui kuchakarika na mambo. Dash!
 
Kama sio jicho la tatu basi jicho lililo tukuka.
 
Back
Top Bottom