Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Dah kweli lara 1 uko kwenye mfungo maana pale imma alipomuita carina chobingo isingekuwa umefunga ungemalizia
 
Halafu koku naye kazidisha uzungu, mtoto wa fom 1 ndo anampa uhuru wote huo....

All in all thank you

Story zako zimewahi kunilaza saa 11 alfajiri imagine
 
Uyu shombe shombe sio ndo alikua Wa aqra Wa mwanzo
Bat aqra ata sijui nimpe nani kwa Walter anafiti kwa muda(Collin) anafiti pia.
Kweli story tamu hii kila atua inakuja na utamu mpya
 
Me tukifanya mashindano ya story zako Lara ata nashindwa niichague ipi iwe no moja zote tamu na matukio yake.
 
Me wamenikumbusha olevor my first boy friend japo tulimwagana nikaja Mpata Mr
topr hahahah! Umejirudisha katika enzi za usichana wako. Wakati unajifunza denda na touches. Naamini umesisimka sana
 
topr hahahah! Umejirudisha katika enzi za usichana wako. Wakati unajifunza denda na touches. Naamini umesisimka sana
mbona juzi tu apo2007 iyo enzi ukitendwa unalia kama umefiwa na mzazi ila saiz akuna upuuzi atae niliza my be aka katoto kangu.
 
Mweeeee uyu mchaga atakua kaniacha njia panda ya IMO ngoja tu nilale saa saba hiii
Nisubirie ftari kesho.
 
WALTER

Walter akawa amekaa anajitafakariii why is he getting soft? WHY? WHY? WHY? Why is he melting down? Akawa anajichukia basi tuuuu vile afanyaje sasa. Kila akitafakari mambo yanavoenda yanamtibuaaa kabisaaa, maana sio kawaida yake kabisaaa. Akawaza na kuwazuaaa chazo cha yote yaliyotokea.

Kwanza siku ile alivonunua redio yule binti kumjibu kunya ingekuwa turn off point ya kwanza kwa Walter wa zamanii. Yaani asinge geuka nyumaaaa. Akajishangaa kwanini alifanya fujo lote lile bila sababu za kuelewekaaa. Kitambo yye kujibiwa kunya na wanawake kwake haikua big deal sanaa. Kwanza ilikuwa mwanamke akimjibu kunyaaa sana yeye atamtongoza shog ake na kulala nae kumkomoa tu basiiii. Hakuwahi kupanic au kimd kwamba mtu anamjibu kunyaaa aaaaaaaaahhhh waaaaapi.

Ila siku ile ya tukio it was like he lost control completely na kinachomtisha lile varangati was not intentional at lll. It is like reflext action. Mwarabu kumjibu viaya kulimtibua tibuaa mpaka nyongo zake zoteee. Cha kushangaza kwa kawaida kwenye hali kama ile wa kwanza kumpiga angekuwa yule binti wa kiarabu. Ila alishindwa kabisaa, kabisaa kumpiga yule binti, matokeo yake akawapiga watu wote. It was like he ouldnt put his hands on her. Na yeye tena Walter ana hitoria ndefu yenye page za kutosha kupiga wanwake sanaa tu. Mpaka ashampaka demu pili pili nini kumpiga.

Kilichomuumiza kichwa this feeling was disgusting but he liked it some how deep down inside his heart. Akawa kadataa kweli na hilo swali, na picha ya mwarabu mara kibao ikawa inamjia kichwani pake. Usiku kabla hajlala lazima amvue nguo yule mwarabu na kuimagine some nasty staffs ndo apate usingizi.

Mara ya pili akasema anaenda Kariakoo kumchungulia tu afu basi. Mmmmmmmmhhhh! Kafika pale lengo achimbe mkwara mkubwaaa, na kufanya ubabe wa hali ya juuu mpaka wamjue yeye nani. Na akapanga kabisa atatumia style yake ya siku zote kumuintimidate yule binti mpaka amkubali matakwa ya moyo wake. Yeye si kiburiii, sasa atakutana na yeye Walter kijana jeuriiiiiii.

Cha kushangaza kaingia na confidence zoote na kujiamini kwingiii, kama kawaida mwendo wake ule ule wa KING KONG, kafika mpaka pale kwa binti wa kiarabu. Cha kusikitisha badala aendlee na master plan lake akajukuta anaomba yeye msamaha! Hahahaaaaaaaaaaa! Na Walter ni mgumu sanaaa kuomba msamaha, lakini siku hio it is like maneno tu yalikuwa yanatoka kinywani yenyeweeee.


Hata baada ya kupewa kichambo shirikishi toka kona zote na kufukuzwa juu, wakati sasa anataka ku errupt ikawa kama kuna more powerfull force keeping him calm. na kumfanya aendelee kutumia diplomasia na wale watu jambo ambalo si kawaida yake kabisaaa. Mpaka akajitoa nje vizuri kabisaa sio kama alivopanga ila akajitoa kabisaa, ndo kuona ile ajali akamuokoa yule mtoto chiz wa pale.

Mpaka hapo kwa kuwa na yule mtoto karata zikageuka ghafla na kuwa upande wake, kabisaaa. Ni kama alijikuta na mpjokeri yoteee, mbili zooote na madume yoote. Angeweza kucheza mchezo wowote ule na kushinda bila wasiwasi kabisaaa. Ila cha ajabu alivorudi ndani na kumuon yule binti akaacha kucheza karata alizo nazo na kujikuta anazifunikaaa na kumpa binti ushindi wa mezani.

Mpak mda huo alikuwa kadataa kabisaaa. It was so unlike him. Akawaza mengi sanaaa. Kila akijitahidi kumtoa yule binti kichwani anahindwa kabisaaa. Kupunguza mawazo siku hiuo jioni akaenda kwa Inspector bila kuitwa na kujikaribisha ndani. Inspector akafurahi sanaa na kuona leooooo Mbingu zimechekaaa. Wakala vizuriii mda wa maongezi Wlater akamuwahi Inspector leo maswali nauliza mimi. Inspector akakubali maana si kaja mwenyewe sio mbaya nimuulize.

Walter akaanza " Mfanoooo wewe ungekuwa mimi sasa, na kuna msichana hutakiwi kumpenda kabisaa, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wako, siwezi kukupa sababu ila kwa umri wako hutakiwi kumpendaa asilani maana mmepisha umri sio sanaa ila mmepishaana. Sasa imetokea amekukaa rohoni, na mmeanza vibayaaa, kila ukijitahidi lazima muishie kwa ugomvi. Na huo ugomvi sio lengo lako ila unatokea tu mnakuta mshatibuanaaa. Kama wewe ngekuwa mimi ungefanyaje."

Hapo Inspector akawa all smiles and all giggles. Anatabasamu mpaka jino la 32. Akamwambia "Walter mapenzi hayana umri, mapenzi hayana kanuni, mapenzi yanatokea tu, na yakitokea hakuna cha kuyazuiaaa. Mapenzi ni mapenziii, yape nafasiii yachipueee. Mtu Muhamad na utume wake wooote alimpenda Bi Khadijaaa aliemzidi umri sanaaa, na akamuoa mke wa kwanza. Mfalme Daudi na ucha Mungu wake wake wooote, alimpenda mke wa nduguye akampanga front row vitaniii ili auawe na yeye amirithi mke wa nduguye. Pamoja kutubu sanaa na kuadibiwa kutolijenga Hekalu la Mungu he risked it all. Kwani huyo mke wa nduguye alikuwa na nini cha ziada Daudi alichoshindwa kukipata kwa mabinti vigoriii? Walter mapenziii acha yaitwe mapenzi. Ushauri wangu USIKATE TAMAA. Try harder iko siku mtaelewana.

Walter akatabasamu tabasamu la rohoni, na aka glow, ule muonekano unaona kweli huyu anayo furaha ya ndani kabisaaa. Akamuaga Inspector na kurudi zake kulala akijimbia kesho ataenda tena Kariakoo to TRY HARDER. Kama noma na iwe nomaa ila yeye atakomaa mpaka mwishooo. All the walls he built to himself over the years were tumbling down one by one.

Huku nyuma inspector akakimbilia simuuu, kwa mama yake kumpa ubuyuuuu. "Mom you wont believe it! Mom you wont believe it i am telling you. HE JUST SAID HE LOVES ME! MOM DID YOU HEAR WHAT I SAID HE LOVES ME! " Mama akastukaaa, akamwambia calm down unipe details zote baby, finally my baby akapta the man of his dreams. Aaaaaawwwwwwww! Inspector anajieleza kasema kuna mwanamke ana mpenda wana tofauti ya umriiii. blah blah blah blha! Mama wacha arejoice akakubali kweli Walter anampenda Ispector maskini he is at cross roads. Wacha wajazane ujingaaa hapo na kumaliza yoote.

Walter kesho huyooo Kariakoo, kafika pale dukani kamkuta yule binti wa kiarabu, akamsalimia salamu yao ya kiarabu, mara ghafla akaja msichana age yake akasikia wanamuita Carry, akamzoa zoa Iqra maana alisikia akimuita jina. Walter akamkatalia Iqra kwamba anaenda wapi na yeye kaja pale na ana maongezi nae. Iqra akamjibu kwa upole tu ningoje nakuja hapo sasa hivi. Siendi mbali.

Subiriiii, subiriii na wewe, kina babu Ali wanamzingua tu, subiriii, subiriii na wewe. Hamna la maana lolote wanalomwambia. Akaakaa mpaka ukakaribia mda wa kureport recall ya jioni. Akaamua kuondoka. Jioni akajiona ndeziiii kweli sio kwa umri ule akalishwe chini na kuachwa kwenye mataa kama ndorobooo. Akawa pissed off sanaa na swala hilo.

Jioni yote akawa so off mood, kabisaa kila analofanya haliendiii wala halirudiii. Mxiuuuuuuu! Akasema sasa huu ni ujinga akajiongoza mwenyewe kwa Inspector. Kufika kule hajaka maelezo wala maongezi akamuwahi na mate, pale pale mlangoniii. Kama mnamuona inspector alivotoa ushirikiano wa hali ya juu kufanikisha mission impossible ile. Hapo hapo kwenye mabusu, Wlater si mtaalamu akajua akimpa nafasi zitaanza story and he really really really had to get laid. that night, zamisha vidole kwenye sketi ya Inspector allaaaaah! Walter tenaaa.

Inspector akawa anaona mambo yanaenda tooo fast akasema potela pote, if he is ready i am ready. Fungua zipu ya suruali hapo hapo sebuleni na kushka MIC. Inspector yumooo akaanza kuinspect mazivu hahahaaaaaaa! Halooooooo inspector huyu. Huku na huku Walter ikamjia picha ya yule mtoto wa kiarabuu, akajisikia off mood kabisaaa, hadi jogoo likaanza kusinzia na huku inspector ndo kawaka. Akawa ana wonder what is he doing! Mmmmh huku anajishangaa waht is he wondering about wote si wanwake tu?

Mmmmmmmh! Ikabidi abadilishe gia angani, akaanza kuimagine yuko na yule mtoto wa kiarabuuu ndo anampiga miti. Hio midadi ilio mjiaa, hio passion aliompa Inspector, jinsi alivokuwa so live, so connected, yaaani, akagawa Over dose kwa Inspector! Hahahahaaaaaaaa! Najuuuuuuuuuta. Kampiga Inspector goli nne za maana, zilizotulia kwa show ya kibabe, isiopangiliwa wala kufanyiwa rehasal. Sasa Inspector si mtu psychology akajua kabisaa Walter anafanya show ile kutoka moyoni mwake kabisaa. Akachanganyikiwa kabisaaa kabisaaa. Akawaza gazeti la usiku huo kwenda kwa mama yake litakuwaje.

ITAENDELA KESHO MDA WA FTARI
 
Hahahahahah! Bibi wewe! Unanipandisha midafi mm mjukui wako! Eti anawaza gazeti LA usiku kwenda kwa mama yake litakuaje! Hahahahah! lara 1
 
mbona juzi tu apo2007 iyo enzi ukitendwa unalia kama umefiwa na mzazi ila saiz akuna upuuzi atae niliza my be aka katoto kangu.
Njoo story inaendelea ukumbukie vizuri
 
Back
Top Bottom