Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Haiwezekaniii,. Hii story imekaa kikorea unaemla ndo wako,walter ndo anaemmudu inspector,Iqra ni wa collin atabadili dini japo baba ake atachukia ila badae atakubali maji hufata mkondo and you CANT HANDLE THE TRUTH itakuwa hivyoo,..anaebisha tubet

hata mimi niliwaza ivo..... kwamba bibi na baba iqra ndo watashindwa handle the truth kwamba mtoto wao kamfata mama kwenye dini yake!
 
hata mimi niliwaza ivo..... kwamba bibi na baba iqra ndo watashindwa handle the truth kwamba mtoto wao kamfata mama kwenye dini yake!
Japo kwa mbaaali nahisi walter nae atamchkua Carina,..yani tunavyoweweseka lara anatung'ong'a tu huko
 
lara 1 umenikumbusha nilivokuwa o level Marian Girls basi watoto wa Upanga na hizo food evening tulikuwa hatuhemiiii...food evening this food evening that...
 
Hahahaaaaaaaa! NAONA MNAJIACHIA TU NA STORY LEADING! YANI MNANIELEKEZA KABISAA JINSI YA KUMALIZIA HIO STORY, INSHORT KILA MTU ANAJIAMULIA MWISHO UWEJE. MATOKEO YAKE MWISHO WOWOTE NITAOUWEKA NITAONEKANA STORY LEADING ZIMECHANGIA. HAHAHAAAA!

NAWAKUMBUSHA TU MPITIE TENA TITTLE YA UZI HUU "YOU CANT HANDLE THE TRUTH"


Nice story, sasa Kuna vitu unanipotezea hewani tu.

Kama vile sasa ya baba yake Walter kuwa vile, mawazo ya Carina wakati anamuwazia BF wake Imma (I thought something was coming), Mudy na grace, wazazi wa muddy Dom waliendeleaje nk.

NB: I CAN HANDLE THE TRUTH.
 
lara 1 umenikumbusha nilivokuwa o level Marian Girls basi watoto wa Upanga na hizo food evening tulikuwa hatuhemiiii...food evening this food evening that...

hahahaaaaaa ulivomalizia hapo mwishon
 
Nice story, sasa Kuna vitu unanipotezea hewani tu.

Kama vile sasa ya baba yake Walter kuwa vile, mawazo ya Carina wakati anamuwazia BF wake Imma (I thought something was coming), Mudy na grace, wazazi wa muddy Dom waliendeleaje nk.

NB: I CAN HANDLE THE TRUTH.
Una haraka ya nini?
 
Walter bora tu amgegede huyo Iqra maana Colin kama joka la kibisa..toto unaamka nae shost wa dada ako aah rahisi sana kumtafuna.
Umenikumbusha kuna siku dadaangu alikukaga home na shosti wake mzuri vibaya mno. Waliingia jioni. Kesho yake nilihakikisha najenga mazowea ya mwendokasi. Nilitumia mbinu zote. Hadi kufika saa nane usiku nipo macho tu namtia nyege kwa simu. Haikuchukua muda shosti akaamka kimya kimya kama anaenda toilet. Akaja room kwangu keshalowa chupi. Nikamgonga viwili vya maana kweli. Mtoto alikuwa mtamu sana yule dadeque. Sasa namwona Collins boya tu
 
COLLINS

Usiku huo hakulala kabisaaa, akawa anawaza Iqra amejuanaje na yule mpuuzi Walter? Na hakujua kujuana huko kunaenda ndani kiasi ganiii. Manake ukute washapendana. Alivowaza hiloooo roho ikafanya paaaaaaaaaaah! Akastopisha hayo mawazo hapo hapo na kuyapuuzia. Usiku ukawa mzitoo sanaaa. Anajigeuza geuza hapati usingizi kabisaaa. Yaani nafsi ilkuwa imemchefukaaa sio kidogo kabisaaa.

Asubuhi mda wa kuwapeleka shule akawaona wamenunaaa. Hawacheki nae kabisaaa. Akasema tayariiii. Basi roho haimuumi mdogo wake kununa kinachomuuma ni yule ndege mnana kujifanya yuko serious , na kumpotezea wakati yeye ana malengo nae mazitooo. Safari ya shule ikawa ya kimya kimyaaaa. Hamna anaemsemesha mwenzie. Akawashusha akaenda zake jeshini.

Siku ikawa nzito sanaa, sanaaa, akawa anawaza akirudi awa surprise na mtoko labda, awaombe msamaha, mpaka waelewane. Jana nae aligomba sanaaa. Akawaza itakuwaje kuwaje. Akajilaumu aligomba excessively. Kila akiwaza alipotokea huyo Walter haelewi elewi, anawaza na kuwazua hapati majibu

Akaamua kwenda kwa Grace wa Dodoma akamuulize chochote anachokijua juu ya Walter. Akamfata mpaka Mlimani, bahati akamkuta Grace. Waksalimiana kwa kina akamuuliza kwanini huji nyumbani, Grace anajitete shule ngumu, kumbe anawaza akija nyumbani mda wa kuspend na Muddy atautoa wapiii.

Collins akaenda direct to the point kuuliza kama anamjua Walter yule aliewapiga majambazi wanne? Grace akamwambia alikuwa anamjua sanaa, ni rafiki yake shemeji yake Muddy. Alikuwa maarufu sanaaa Dodoma in the 1980s na amefanya matukio mengi sanaa. In short ni hooligan mzoefu sanaaa. Asiemjua Wlater nani wa Dodoma miaka hio ya 1980s? Walter ni mbabae afu malaya MBWA!!!!!!!!!! Collins akastukaaaa! Malaya mbwa tenaaa? Akatetemeka, nguvu zikmuishaa kabisaaa. Collins appetite ya kumjua Walter ikamuisha kabisaaaa.

Akapitia kwenye deals zake zingineee, akachelewa kurudi, akarudi saa 1 jioni hivi. Kaingia ndani, kaulizia msosi kala. Akahisi kama kuko kimya sanaaa. Akamuuliza dada hawa warembo hawapooo? Dada akasema yupo Carina amelala, yule mwarabu kachukua vitu vyake kaondokaaa. Mmmmmmh! Walter akastukaaaa. Ameondoka saa ngapi? Dada anamwambia kaondoka saa 8, alivotoka shule alikuja kuchukua mfuko wake na kuondokaaa. Akasema umekasirika sanaa, anaogopa, hapendi akugombanishe na Carinaaa.

Akamfata Carina chumbani, Weweeeee, mwenzio yuko wapi? Carina akamkalia kimya! Akambadilikia ghafla! Akamfokea nikiongea na wewe uwe una nijibu. Carina akaingiwa wogaaaa. Akajibu tu kaenda kwao, ameona umekasirika sanaaa. Kamuuliza kwao unakujuaaa? Iqra akajibu nakujuaaaa, sijawahi kufika ila alinitajia kwa kunielekezaaa tu. Akamwambia twendeee. huko huko. Wakaenda mpaka Kariakoo usiku huo huo.

Wakafika wakafika mpaka nyumba walio elekezwa gorofa ya pili, wakafikia mlango. Akagongaaa Collins. Baada ya mda akaja Iqra kuuliza nani? Akamkanyaga Carina, Carina aksema mimi. Iqra akafungua haraka haraka kwa furaha, ndo kuwakuta wote, akstukaaa, Collins akauona mstuko wake wazi wazi. Akajikuta anatabasamuu. Iqra akasema karibuniii. Wakaingia, Collins akasema nimekuja kukufata turudi nyumbaniii. Iqra akasema mi nakaa tu huku huku, asante. Collins akamkazia wewe binti mdogo utakaaje peke yako beba vitu twende. Iqra akaanza kuongea swalaa, akamdaka juu juu nimesema beba vitu twende.

Iqra akabeba vitu na kumfata Carina kwao. Kufika wakaingia chumbani wakawa wanachekaaa. Kwa furaha sanaaa. Carina akamwambia nilikumisije sasaaa. Iqra anamwambia bora ulivonijiaaa nilikuwa naogopaaa. Nakupenda sanaaa rafiki yangu. Carina kamwambia tushakuwa sisters tena sio marafiki tenaaa.

Sasa Iqra alivoshikwa shikwa na Walter juzi ile akawa ana hisia hisia flani hivi za nyegeee ila akawa hazielewi elewi vizuriiii. Kila akilala anajisikia tofauti kabisaa. Hamu ya ile hisia inamjia mara kwa mara. Akaamua kumuuliza Carina, manake ndo shoga ake afu mkufunzi wa hayo mambo. Akaanzia mbali, Carina hivi ushawahi kulala na mwanaume?

Carina akastukaaa, akagunaa tu, ila hakujibuuuu. Iqra akajilaumu kumuuliza lile swali kweliii. Ukapita ukimya akaamua kulala. Akasikia Carina anajibu huku tayariii siku nyingi. Iqra akajikuta tu anamuuliza ilikuwaje akawa anxious kujua ilikuwaje. Carina akatabasamu mawazo yakaenda mbaliii akajikuta anamsimulia kila kitu huku akirudisha mawazo nyumaaa.

Akamsimulia story ya Imma mpaka kwenye food vening na kuwa waliishia kwenye romace tu. Baada ya food eveving, alivorudi tena shule, yake akawa so nervous, afu akajikuta tu anamuogopa Imma, basi anaingia shule kwa wasi wasi ilimradi tu asigongane na Imma, yaani confidence kwa Imma zikamuishaa. Asubuhi akabahatika kuto kugongana nae, mpaka wakaingia drasani ndo akachangamka. Wenzie wanamsifia Carinaaa, sio kwa mkaka yuleee, Carinaaa sio kwa chombo kileee, Carina wewe nyokooooo. Tumekukubali sanaaaa, yaani sanaaa. Acha kabisaaa. Carina kwa wenzoe anajitutumua ila kiroho kinamdunda ndi ndi ndi! Siku hio ikapita bila wao kuonana, akashukuru Mungu, ila moyoni akawa kam miss.

Kesho hawakuonana tenaa, wala nini, sasa akaanza kuhisi huenda he was not serious, mbona hamake efforts kumtafuta na mambo kama hayo. Akawa tu off mood. Break ilivoisha akaja mkaka kumletea chocolate na ki note kimeendikwa love you always! Imma. Carina akalipukaaa moyoooo! Basi mchana woote akajikuta yuko hewani darasani hamuelewi mwalimu wala wanafunzi.

Mda wa kutoka bado akawa anaelea moyoni, ile katoka akashangaa nakimbiliwaaa, kugeuka Imma. Roho ikaanza kwenda mbiooo. Akamuuliza zawadi yangu umepata? Akasema nimepata asanteee. Basi Imma anamuongelesha kwa kumdekezaaa na kumbembelezaaa. Basi Carina anajisikia rahaa rahaaa.Imma akamwambia jion nacheza Donbosco basket uje tuonane. Carina roho ikamfanya paaaah. Akawa anangata kidole ndo anakubali hivo kiainaa.

Jioni akaenda kweli pale, Imma watu kibao wanamtolea machooo! Basi videmu vinashoboka Immaaaa! Immaaaaaa! Moyoni roho ikawa inamuenda mbiooo. Imma hio vepeeeeee! Imma akakaa alivotoka akamfuata akamwambia twende. Imma alikuwa na gari ya mama yake. Haooo mpaka Aghakan beach, wakashuka wakawa wamekaa beach.

Basi ndo mapenziii, mapenzinii. Anadekezwaje sasa. Kukumbatiwa vepeee.Hugs vepeeee. Basi akawa anaona dunia iliumbwa kwa ajili yake. Malovee ndo yakaanza rasmiii baina yao. Wakawa kama kumbi kumbi jinsi walivoshibanaaa. Usiku kwenye mitoko wako woote. Malovee maloveee yakawa yamekubaliii.

Wameenda wameenda, kufika katikati Imma akambembeleza kweli aende kwao jumamosi moja wazazi wake hawatokuwepo. Sasa Carina kamzoea ndo kwenda sasa hukooo. Wamekaa yale yale mapenzi ya kitoto mara akashangaa Imma anamvua chupi. Akagomaaa! Imma bembelezaa bembelezaaa bila bila. Akawa anambembeleza sasa aachie mzigo, Carina anasita sita.

Wameenda Imma akaja kumwambia katembea n mtu mwingine, na kajishtaki mwenyewe kabla Carina hajajua kwa watu wengine na kumuomba msamaha. Carina kagomaaa wakaachana. Alikondaa kwa mawazo. Akimuona Imma roho inamuenda mbioo. Wameenda Imma akaja kumbembelezaa mpaka yakaishaa wakasameheana. Kumuuliza kwanini alifanya vile, akasema wewe hunipi sasa mimi nifanyaje, nazidiwa hamuuu. Si unajua mimi mwanaume kujizuia ngumu.

Wakaendaa siku hio tena kwa Imma, wameanza kama masiharaaa, Imma akawa kashadinda tenaa. Akaanza kumvua chupi, Carina akagoma tenaa. Imma akambembelez baby sikufanyi kitu, i promise siwezi kukufanyia hujakubali mpaka utake kunipa mwenyewe. Mmmh! Carina bembelezwaa akakubali. Akavuliwa nguo zotee, na Imma akavua kwa akili yake ya form 2 Imma hafanyi kitu atamnawa afu bassi. Hahahaaa!

Wameenda mda kidogo akamwambia baby naomba naweka juu tuu kidogo tu, siingizi ndani, kweli nagusisha tu. Carina akakubali kwa mashakaa. Akaanza kweli kuweka juu juu. Akaendelea kumshika shika mpaka kalainikaa vizuriii, alistukia tu trekta linakata mbugaaa. Hahahahaaaaaaaaaa! Wacha amngatee na kupiga mayoweee. Wapiiiii! Mawasiliano kuja kurudi kati yake na Imma mzigo ushaliwaaa. Aliliaa. Akawa hataki hata kumuona Imma wala maongezi nae kabisaa. Njia nzima analiaaa. Kufika kwao ka sneak in, akalala. Wiki yote anamkwepa koku.

Imma haishi kuja darasani kumbembelezaa, amsamehe alizidiwa tu, shetani akamptiaaa. Akambembelezaaa mpaka akakubali Jmosi kwenda tena kwao akaahidi hamfanyii tenaa. Kufika wameanza kushikanaa, akadindaa tena. Akaanza kumuomba upyaa. Carina anakataa akhaaa inaumaa sanaa. Mi sitakii. Kabembelezwa pale akatoa tena mzigoo, maumivu kidogo yakawa yamepoaaa. Siku hio akafanywa mara mbili.

Baada ya hapo ikawa sasa mazoea, sio kwenye gari, sio wapiiii. Anamwambia huwezi amaini hapa nilipo mda mwengine naulizia mechi mwenyeweeeeeee. Unadhaniii? Hahahaaaaaaaa! Wakacheka tu wote. Basi Iqra ile story ikawa ndo kwanza imemzidisha nyegeee balaaa. Akasema aende chooni kukojoaaa. Ulikuwa usiku mwingi kama saa 7. Akawa anatafuta khanga haioni. Mkojo unataka kumtoka kasikia umembana mda ilakusikiza story ndo kukamweka paleee.

Alivoona anakaribia kujikojolea Carina akamwambiia nenda hivo hivooo utajikojoleaa maana ashaanza kuruka ruka. Iqra akawaza aende vile na bukta tupu kweli na singlendi, akasita. Carina akmwambia bwana nenda unamuogopa nani? Collins mwenzio akilala haamki, labda ugongane na dada tu huko chooni. Iqra akapata nguvu za kwenda hivo hivo.

Kumbe Collins yuko chooni, Iqra kafika chooni, Collins ndo anatoka wakagongana uso kwa uso Iqra akajikaza kama sio issue wala nini kwani nini? Ndo ashaharibu tenaaa. Akaingia chooni. Kutoka hivi anamkuta Collins anamngoja pale pale kwenye corrido, roho ikafaya PAAAAAAAAAAAHHHH!

ITAENDELEA.
 
Ayeiyaaaaaaa....mshikemshike ndege tunduni......
 
Hahahahahaha Collins atashindwa tena,,,, Iqr anatakiwa aanzwe na Walter show ya kibabe
 
Collin usitoke hapo mtoto keshalainika hapo ni kugusa tu shauri yako
 
Wallah hapa collins akishindwa hapati tenaaaa sio kwa kuku kuingia bandani bila ya mchele looh cant wait jamanii mweh
 
Back
Top Bottom