Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

baby naomba naweka juu tuu kidogo tu, siingizi ndani, kweli nagusisha tu. Carina akakubali kwa mashakaa. Akaanza kweli kuweka juu juu. Akaendelea kumshika shika mpaka kalainikaa vizuriii, alistukia tu trekta linakata mbugaaa. Hahahahaaaaaaaaaa! Wacha amngatee na kupiga mayoweee.

Umenikumbusha mbali sana
 
Wallah hapa collins akishindwa hapati tenaaaa sio kwa kuku kuingia bandani bila ya mchele looh cant wait jamanii mweh
Collin atazuga me nshamuona na kwa story ile alopata kwa carina iqra atakuwa na walter
 
haahaa pastor Collins atafanikiwa kuvunja k.z.n.d.a cha Iqra ambaye ashanyegeka?
 
Jamani leo saa 7. Internent ya Voda inakatika katikaaa sanaa. Nishaandika imefika nusu imefutikaaa. Kiukweli hapa navoona saa 7 usikuuu. Am la mni PM bundle la tigo TULE ASALIIIIII. Sina gharama bundle la 2000 tu linanitosha la Tigo
 
Collins kwa ufara wake litaanza kuuliza maswali ya kijeshi jeshi na lafudhi yake ya kikurya; "iqra ebu niambie tu ukweri walter hajawahi kukumbato kweri?" badala ya kumvutia mtoto kwa room na vile tayari keshanyegeka... ni mwendo wa shoo ya kibabe tu mpaka kuchelee...maneeeena chance ka hii impate comando kipesi walter aka saibog maku itafuka moshi...!!

lara 1 tusambazie mautamu dada la madadaaz
 
yaan colli akishindwa kula mzigo kwa iqra basi tena,mana atakua boya wa mwisho dunian
 
lala 1 weeee! kiboko aseee! njoo unipe raha ya hadithi
 
Jamani leo saa 7. Internent ya Voda inakatika katikaaa sanaa. Nishaandika imefika nusu imefutikaaa. Kiukweli hapa navoona saa 7 usikuuu. Am la mni PM bundle la tigo TULE ASALIIIIII. Sina gharama bundle la 2000 tu linanitosha la Tigo

Lara umeanza kuzingua sasa....acha hizo

hata sie kusoma hilo story tunafyonzwa bundle pia coz kitu yenyewe imeweka live stream ukichelewa tu limepita

Poa ni pm # yako nikutumie kwa simu straight si unajua vocha zenyewe hizi za kuchanga nikurushie ni inshu.

unatuhenyesha kweli kweli hadi tunashindwa kufanya yetu kukusubiria ufturu khaaa. .....
 
C
Hahahaaaaaaaa! NAONA MNAJIACHIA TU NA STORY LEADING! YANI MNANIELEKEZA KABISAA JINSI YA KUMALIZIA HIO STORY, INSHORT KILA MTU ANAJIAMULIA MWISHO UWEJE. MATOKEO YAKE MWISHO WOWOTE NITAOUWEKA NITAONEKANA STORY LEADING ZIMECHANGIA. HAHAHAAAA!

NAWAKUMBUSHA TU MPITIE TENA TITTLE YA UZI HUU "YOU CANT HANDLE THE TRUTH"

Collins atamuoa Inspecter. Walter ataoa grace wa muddy na mudy ndio mume wa iqra!
 
C


Collins atamuoa Inspecter. Walter ataoa grace wa muddy na mudy ndio mume wa iqra!
We're muddy na grace awaachani kabisa japo Walter alimbaka grace ila awakuachana tabiri upya mkuu
 
Back
Top Bottom