julmiranda
Senior Member
- Mar 21, 2016
- 171
- 149
Afadhali jamani nilikua na mawazo kweli leo husimulii
Mmmh! Lara, Walter na Iqra noooòooo
Walter nadhani ameenda age kishenzi [emoji23][emoji23] hapana kabisaaa
Weeee hawez kukakunja mali ya collin hiyo [emoji6]Af full mitulinga, mind you alikua fundi makenika, ashapiga chuma sana, mbaya zaidi kapitia na ujeda. Sipati picha akikakunja ka Iqra
Atamuua mtoto wa watu, mziki wake anauweza yule mjeda mwenzie.., Iqra anaendana na Collin.Af full mitulinga, mind you alikua fundi makenika, ashapiga chuma sana, mbaya zaidi kapitia na ujeda. Sipati picha akikakunja ka Iqra
hahahahaa umenichekesha mpaka nimepaliwa!!Lara 1 thanks for the story aisee....nimekukubali jumlaaa
najua kuwa hii ni story na nina hakika ni story but please naomba namba ya Iqra!
Weeee hawez kukakunja mali ya collin hiyo [emoji6]
Lara 1 thanks for the story aisee....nimekukubali jumlaaa
najua kuwa hii ni story na nina hakika ni story but please naomba namba ya Iqra!