Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Yaani walter na iqra wanaendana sana! Hii couple ikimeki safi sana
 
COLLINS DARESALAAM

Carina akawa anatafakari maisha yake kwa kina. Kiukweli yule half cast kamuingia rohoni kabisaa hana ujanja wowote juu yake. Na ujanja wake woote pale kwa halfcast kafikaaaa bei. Yaani bila kumuona shuleni au kukutana nae mda wa kutoka siku haijaishaaa. Asha date na wanaume wengi ila ile kitoto kitoto mnaishia romance tu, na hakuwahi kuendeshwa kama anavo endeshwa na huyu kaka.

Kuna mda wakiwa wanagombana na halfcast anachanganyikiwa, anavurugwaa, anakos pozi kabisaa mpaka anatamani kumuomba Mzee Mjungu au Collins ushauriiii. Sasa akajitambua amekua na amependaaa. Mara kibao anakaribia kabisaa kuvurugika kiasi cha kumuomba Collins ushauri ila anajizuia just in time. Ingekuwa anajiendekeza mbona angeshamuomba baba yake ushauri juu ya kibwana hiko siku nyingi sanaaa.

Akakumbuka walivoanza kiutani utani mapenzi yao. Siku hio kama kawaida Carina ni Prefect na alikuwa form 1 kipindi hiko yuko Shabaanrobert hajahamia IST bado, akaambiwa aandike majina ya late commers. Sasa ushangingi wake na kujifanya strict akawa amekaa getini. Wenzake wamekuja pale kumpa company na nini mradi mda usogee.

Mkaka akaja amechelewa kabisaa, akamkuta Carina na wenzake waliokuja kumpa company Carina. Akamuuliza jina lako nani nani ili amuandike kwenye late commers. Yule kaka akamwambia naitwa Conrad Msekwa. Carina akaandika pale, Conrad Msekwa. Akaingiwa shaka, akamwambia toa daftari lako, yule kaka akatoa kweli daftari, Carina akasoma jina limeandikwa Conrad Msekwa, form 5. Yule kaka akaondokaa zake. Mashosti zake wakaanza kumwambia yani wewe unamuandikaje kaka mzuri hivi kwa mfano? Kama ni mimi namsamehe tu, kwanza ningechukua digits za kwao usiku nampigia. Hahahahaaa! Wakawa wanacheka wote.

Carina akabidhi yale majina kwa teacher on duty, akaingia darasani kwao. Break akaambiwa unaitwa na teacher on duty. Akaenda. Teacher akamwambia mbona mimi huyu Conrad Msekwa sijamuona nimemtafuta A level kote sijamuonaaa. Carina akashangaa sanaa. Madam akamwambia huyu atakuwa alikudanganya jina. Carina akajitetea alinipa daftari madam, jina nimetoa kwenye daftari. Madam akamwambia itakuwa jina la uongo na daftari la uongo huyu atakuwa mchelewaji sugu.

Carina akajisikia kuaibika kweliiii. Akaborekaaa nafsi. Akajiona mjingaaa sanaaa. Akaamua akamsake yule kaka huko huko Alevel asimletee mazoeaaa ya kiboya kabisaaa. Akaenda mpaka form 5. Anapita darsa moja moja hakumuona. Hamad akamuona kasimama sehemu na wenzie. Akasema nyamaaffff zako, akamfata pale aliposimama akamgusa bega.

Yule kaka kumuona Carina akaanza kucheka kikweli, maana anajua alilolifanya. Carina akawa amepanic, anamuuliza unacheka nini? Unacheka nini? Kaka akamwambia calm down, kwani tuna ugomvi. Carina akamjia juu you made fun of me, kwanini umenipa jina la uongo, Madam kanimind ujue. Umeniletea matatizo sanaaa, kiukweli i am so pissed at you sio ustaarabu we unajua Madam anafatilia then ukanifanyia vile kwanini?

Mkaka akamwambi you look more beautiful when you mad, believe me huku ana grin. Carina ndo akazidi kuwa mad akawa sasa hata kuongea hawezi jazba zimemshikaaa.. Yule mkaka akamwambia sikia nikwambie, kesho kutwa kuna food evening, sasa mi sina company, sina mtu wa kuenda nae umesikia Carina. Kama vipi be my date kwenye hio food evening.

Carina akawa cross roads aendeleze kesi hio juu kwa juu au akubali mualiko maana nae mpaka mda huo hakuwa na mtu wa kwenda nae kwenye party, alafu akienda namtu wa A level itakuwa poa zaidiii maana mashoga zake atawafunikaa bovu, ukiacha hio kuwafunika bovu mashosti wake pia atavivulana vilivo mpotezea kumuomba date vitajinyongaaa kwa wivu na overall atatingisha vidada vyotee kuanzia Olevel mpaka Alevel. Ila kudanganywa bado roho ilimuuma na kumsamehe kirejareja namna hio roho pia ilimuuma. kajikuta njia panda hana jibu la kummpa. Akabakia tu kimya.

Akiwa bado anawaza na kuwazua cha kujibu yuel kaka akamwambia basi we have a deal, kesho mida ya 12 mi nitakungoja pale mitaa ya getini, sawa Carina. Usiniangushe kama nilivokwambia nakutegemea. Carina akamuuliza jina lako nani? Yule kaka akawa anazuga zuga akamwambia tu, i dont want to lie to my future baby. Alivosema hivoo mtu akaita Immaaa kwa nguvu. Yule kaka akawa startled ila akaendelea kula gunzi. Yule alieita akaja mpaka pale, Imma mshikaji wangu wangu mbona unalia gunzi mi nakuita kwa nguvu kiasi hiko uko karibu kabisa unajikaushaa au sababu upo na mtoto mzuriii? Wakajikuta tu Imma na Carina wote wamechekaaa. Ndo Carrina kujua anaitwa Imma yule mkaka.

Carrina siku hio darasani akajikuta tu kila mda ana smile peke yake. Wametoka na squad yake kufika home, wote wako concerned Carina you dont have a date, Carina utaenda na nani? Siku zimeisha Carina ujue. Carrina hana hata wasiwasi. Wenzie wakawa wanafurahia moyoni for once watamzidi Carina katika kitu chochote kile. Jioni akawa amekaa na mama yake akamwambia i found a date. Koku akafurahi Aleleleeeeeeeeeeeeeee! Finally! Anamsisitiza Carina give me all the dirty!

Carina akawa ana dish na mamy ake, he is so handsome mom, you will see him utaniambiaaa. Koku anamchagiza HB ya Dad? Carina anamwambia Dad anasubiri sanaa, rangi ya mtume mwenzio. Koku yuko wachaaa, usinitie hamu mama yako. Aleleleleeeeeeeeeee! Carina anacheka tu si kwa vigelegele. He is in A level Ma! Koku yupo you dont tell me? Form 1 wewe umepata HB wa A level? Carina wewe mwisho wa reli kigomaaa. Akanaaaaaaa, akanaaaa kaire konaaa! endelea kunipa habari, umempataje pataje. Carina akamsimuliaaa. Koku yupo Aaaaaawwww! Love at first sight! Hahahaaaaaa! Wamama wengine jamani ni balaaa tupu.

Carina anamwambia Mom sasa kuhusu nguo itakuwaje? Si unajua nilijua siendi coz sikuwa na mtu wa kwenda nae. Koku anapanic kabisaaaa, kweli nguo ni tatizooooo. Haina shid kesho mdanganye huyu mzee unaumwa twende kwa Mama Rweyongeza ukachagua ana mzigo mpyaaa. Carina yuko poa mama, ndo maana nakupenda to the moon and back. Best mother everrrrrrrrrr. Koku anamsisitiza nitakupeleka mwenywe na gari ya huyu Mzee na mimi nimuone mkwe wangu.

Siku food eveing, Carrina kaenda saloon, watu wanamsifia saloon mtoto mzuri huyuuuu, Koku yupo nimezaaa, najua kuzaaaaa. Sijabahatishaaa. Kurudi nyumbani, wakajiandaa wote, anamsimamia avae zile nguo, wakakubaliana kweli nguo imemtoa chichaaa. Basi Koku yupo hapa Halfcast hachomiiiiiii. Tunachanganya rangiii. Hahahahaaa! Wakamuaga Mjungu kwamba anampeleka mtoto shule kuna event, Mjungu anagomba Koku malezi yako siyapendi kabisaa, kichwani hio si relaxer, itamfanya mtoto asiwe na akili kabisaa, na kwanini apake make up, Koku ukiendela kumpa Carina makeup nitakupiga marufuku na wewe mzee mwenzangu usiwe unapaka hayo madude, kwanini amepaka lipstic wakati ni mtoto, Koku tutagombana afu nianze kuktwanga kama zamani. Koku anajitete ni event Mjungu shureni huko kuna event wote wanapaka hivi vitu, kwanini unataka kumuonea Carina aonekane katoka kijijini lakini Mjungu toka rini ukajua event? Wakati unasoma shure za Nyerere event zirikuwepo au basi tu? Mjungu akaamua kujinyamazia. Koku akamtaarifu tunachukua gari rako, si unajua wenzie wazazi wao watakuja na gari za bei mbayaa, usitake mtoto awe mnyonge. Mjungu akaa kimya tu.

Wamefika kwenye gari wakacheka tu. Rishamba rire ri baba rako, rinataka kukuretea mambo ya kizeee ritajuria wapi mambo yanavoenda mjini siku hizi. Achana nae, umependeza shoga angu. Huko lazima wakajue wewe ndo Carina, mtoto wa Koku, na sisi ndo Wahaya wa famiria ya Mjungu. Wkawa wanacheka tu. Moyoni Carina utumbo unamchezaa maana huyo Imma hajamzoea afu ana kitete tu asijue kwanini.

Koku akamshusha getini na kumbusu akamwambia mi nitakufata saa 5, sitaki kerere na yule mzee kure. goja nikampe mambo mazitooo mpaka akusahau huku na aiangarie mda maana na ushamba ushamba wake anaweza kuja kukufata saa 3 hapa ukashindwa kufaidi mambo na wenzio. Hahahaaaaaaaaaa! Carina kama kawaida anamsifia you are the best mother ever.

Kufika akawa aksimaa getini, wakapita wenzie na vibwana vyao, wakamsalimia Hi Carinaaa! Akajibu Hi! Mara akashangaa anashikwa kiuno, akastukaa kugeuka Imma huyu hapa. Mmmmmh! Ndo mambo ya kikubwa nii haya, wakaingia ila bado yuko tense si unajua tena mazoea yana tabuuuu. Imma anamwambia relaxxx Carina usiniogope sikudanganyi jina tenaaa. Hahahahaaaaaa! Carina anacheka ila na woga pia muhimu si mnajua tenaaa mambo ya kikubwa.

Event ikaenda ikawa inamboa boa Carina maana akifikiri what next chupi inambanaa. Wenzie macho wameyatoa si kwa Carina kumpata mkaka yule. Alevel wenyewe wakawa pissed si kwa Imma kumchukua mtoto wa form 1. Roho ilawauma sanaa. Afu kibaya zaidi Imma ni mtu serious asiezoeleka ila kwa Carina ikaonekana Carrina ndo muoga sasa, Imma yuko so free na Carinaa.

Akamwambia Carina tutoke nje. Carrina anatetemeka, akajuuta hakujua BIGGER LEVELS, UNAKUTANA NA EVEN BIGGER DEVILS. Akatoka kujitutumua mpaka kwenye chobingo. Basi Imma anamwambia tell me baby, umefurahi kuspend evening na mimi leo. Mmmmmmmmmh! Carina anaangalia chini Ndio. Chezea utoto nyie. Basi Imma anamwambia niangalie machoni Carrina usiniogopeee. Come on. Carrina anajikaza anamuangalia machoni, wakawa sasa wanaangaliana machoni. Heee! Imma akaanza kumla mate. Carrina huku anasikia reha huku anadataaa. Mmmmh! Hatokaa asahau siku hio. Mate mate mwanaume kalegea mwanamke kalegea. Imma akaa akamwambia ampakate, Carina anaogopaje sasa, akili yote ule usemi wa mwanamke ni kama embe ukumuona bado mbichi wenzio wanamla na chumvi kwa pilipili huenda ukamhusu.

Akamkalia, Imma anampa malovee, frennch kiss na nini, mipapaso ya kutosha, huku story zinaendeleaaa, anamsikia kabisaa kadindaaa kama Martin kwenye suruali. Woga ukichanganyika na rahaaa inakuwa balaaa. Imma anamuuliza baby unakaa wapi mtoto mzuri? Carina anjieleza Upanga, nyumba za jeshi. Imma anamwambia mimi nakaa Masaki utakuja kunitembeleaaa siku moja, you should come baby and see my home. Mate yanaendelaaaa. Usiku ulikuwa wa motoooo hatariiiiiiiiiiiiiiiiii!

Saa tani Carina akmwambia bwana mama atakuwa kaja, mimi natakiwa kuondokaaa. Imma akamsindikiza mpaka kwenye gari ya bi mkubwaa. Akamtambulisha huyu Imma, Koku tenaaa kwa bashasha aaah mkwe wangu Imma, nafurahi kukufahamu sanaa. Imma akawa kampenda Koku alivo na bubbly personality. Carina akaingia garini wakaondokaaa. Njiani maneno yote aliyoongea mama yake hkuyasikia wala kuyakkumbuka.

Carina akastuka kwnye wimbi la mawazo akawaza kwa ishu alizo nazo na Imma bora kesho aktoka shule amwambie mama yake wakamchukue Iqra waje nae pale home huenda akamshauri maana mashoga zake wengine hawaamini kwenye hio issue.

Kesho katoka wameenda Kariakoo akamzoa zoa Iqra mpaka kwao. Wamefiak Koku akaji excuse. Sebuleni wakabakia Carrina na Iqra. Carrina akamwambia Iqra hamna wanaume humu ndani vua hilo baibui na hijab upate hewa. Iqra anamuona dada tu, akavua kweli akabakia na sketi fupi, top kata tumbo na nywele kaziachia ndefuuuu. Carrina akamkaribisha pombe akasema hatumii ni haram! Carrina akghairi akaamua kunywa soda.

Collins alikuwa chumbani mara dada akagonga, akamfunguliaa. Dada akamwambia kwa kumnongoneza kuna mgeni kaja rafiki yake Carrina ni mzuriiiiiiiiiii, yaani ni mzuriiii kaka Collins huwezi amani. Collins aamuuliza dada ndo ulichonigongea dada hana jibu yuko exited, anajieleza alikuja akajifunika minguo myeusi alivoivuaaaa ni mzuriiiiiiiiiiiii! Collins akafunga mlango

Collins akajitahidi kurudi kulala anakumbuka ni mzuriiiii, alikuja kajifunika miguo myeusiii. Mmmmmmh! Uchu ukamuingia akatamani aende akamchungulie tu. Wasionane ila amchunguli basi roho yake iridhike. Akajiuliza atumia technic gani. Akatoka Corridor akajibanza ukuta ule wa corridor akawa anawachungulia sasa kwa sebuleni daaah akaona nyweleee zile akadataaa. Akaendelea kuchungulia akamuona Iqra kasimaa ila kampa mgongo, Mashallah, mtoto amekua nyonga zimeanza kutanukaaa. Mmmmhhhh! Akageuka upande akamuona sura upande bila hijab. Akdataa. Akijindaa kumuona live akasikia daa bwana unachungulia nini kwenye corridor si uje umshange huyu dada kama unataka.

Collins akatoka mkuku mpaka chumbani akajitupa kitandani. Akamsikia dada anaitika Unaniita Carrina nipo jikoni. Carrina akasonya tu manake akajua li Collins lilikuwa linawachungulia akaghairi kumuomba Iqra ule ushauri just incase Collins anawapeleleza na kutaka kusikia wanaongea nini.

IMEENDELEAAA
 
Collin anazingua sana, afadhali angekuwa mchagaga ningemuelewa, sasa wahaya na kuzingua wapi na wapi??
 
Aiseee Lara 1 we kiboko... hpo pa chobingo umenikumbusha mbaaali sana...!
 
Acha tu natamani umalizie hapo mbona ili nijue alibanjuliwaje na huyo shombeshombe

Kumaliziwa muhimu kwa wakati wake IN DETAILS ndo maana story hii inaletwa mda wa daku.
 
Aiseee,mburaaah! Bibi ongeza madoido,si unajua sisi damu changa tunataka mambo matamu? Hahahaha! Ungeuelezea na upaja na kitovu cha mtoto Iqra. Mashallah!
 
Back
Top Bottom