This is a Fresh start kwa Harris na Stacy, Gill kabugi maana hii itamfanya Stacy amchukie Na kumpenda zaidi Harris japo hana hela. Ila Gill kweli mafia
Mke wa Gill naye Sio kwa understanding hiyo!! Yani unamualika kimada wa mme kwenye bday za watoto na akiwa ana shida pia una msaidia, Hiyo hata shetani mwenyewe lazima aogope