Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Mh! Hili goma lmeanza kwa vurugu mechi full mtiti mwanzoni tu Dege lishachanganyia linataka kupaaa
 
Hahahahahahahahaha nimecheka sana hapa eti kuliko uwe mwanamke wa nje bora uwe mke wa Konda au mpiga debe kha!! Ngoja niendelee kusoma ado ado Mie wkendi yenyewe nipo tu nimeteguka kisigino
 
Harris akiwa anawaza kiukweli maisha anayoishi yamemchosha sanaaaaa. Hawezi kiendelea kuishi hivo hivo sababu hajaridhikaaa kabisaaa. Kama shule kaenda vizuriii, kazi anafanya vizuriii sanaa, anachokasoro ni swala la tu la kukosa refaaa, bahati au godfather wa kumbebaaa. Ilimuumiza sanaa sanaa akili na kumnyima raha watu alioanza nao kazi wanakua kwa kasi sanaaa.

Akawaza kitu gani akifanye kimuweke kwenye ramaniii. Akawa hapati jibu. Akiwaza kuacha kazi anakosa raha kabisaaa.Maisha magumu sanaa na sio suluhisho la matatizo yake. Kwanza yeye ni yatimaaa, kasaidiwa tu na mjomba wake kufika hapo alipo.Japo shangazi yake alimnyanyasa sanaaa sanaaa anamshukuru mjomba wake kwa kuhakikisha tu anamsomesha shule nzuri na hakosi kitu maishani mwake. Kwa hilo daima atamshukuru mjomba wake. Tatizo mjomba wake sio msomi ni mission town tu na umri umeenda na hela imeanza kukata. Na akamwambia tu kiungwana mimi nilikusomesha sasa inabidi unisaidie kuwasogeza hawa wadogo zako. Hela yangu ya msimu, nikikosa inabidi wewe usimamie show ya ada na matumizi. Kiukweli mshahara wote akawa anawalipia ada wadogo zake na shule zao za gharama akawa ana unga unga.

Akasali sanaa Mungu ampe njia ya kuuga umasikini. Wanawake nao alikuwa hadumu nao sababu wanataka pesaaa. Na yeye pesa ya mchezo hanaaa. Mpaka mda huu alikuwa 50/50 yaani hajui kesho yake ikoje. Akawa tayari kwa opportunity yoyote itakao jitokezaaa.

Hamad siku hio ofisini akakuta maboss zake wawili wanajadili sheria mpya ya kupigwa picha mkiingia guest house au lodge au hotel wewe na huyo mwanamke. Wakawa wanasema kazi kweli kweli inabidi umalaya tuacheee aiseee. Daaah! "Mwanangu wanafunzi wa chuo si balaaa tutawakosa hivi hivi. Aiseeee. Magu sio kabisaaaa." Wakasikitika. "Mi pamoja na yote yule mwanamke wa kibondei itaniumaaa sanaaa kumuachaaa,anajua nachohitajiiii, anajua kunituliza nafsi kama mapenzi yule ana Phd. Anajua kuniwekaaa nikawekekaaa. Daaaah! Balaaaaa hili kweli kweli ukisema umpangia nyumba kwa mshahara upi?"

Harris akadakia maongezi, kwanza wakamshangaa dogo anaongea nini huyu. Ila alichokiongea kika waintrest. "Jamani mimi nina appartment down town, national housing iko poa vibaya mnooo, hapo Upanga aliniachia mjomba wangu alivoamia mbezi beach. Elekezi vibaya mnooo. Full Ac, maji 24/7 room 3 za kulala, afu ghetto nimeli pimp kama vipi wakubwa zangu hii sheria ikiwabana naweza kuwaazima kiutu uzima, sisi wote wanaume hatushindwani. Na nyie mnikumbuke kwenye ufalme wenu. Wakamchangamkia wote, weeeeeee! Achaaa, embu tukalione ghetto lenyewe." Mda wa lunch wakaenda kulicheki wakakuta elekezi vibaya mnooo, wanamwambia dogo kumbe wakishua sanaaaa! Hapa tupe fungua kabisaaa kila mtu yake. Akawagea. Makubaliano mwisho wa kulitumia ghetto saa 1 kamili jioni. Mchana wote wapo free kufanya uchafu wao wote.

Baada ya kama wiki tangu makubaliano hayo yafikiwe majirani wakawa hawamsalimii na akiwasalimia hawamjibuu. Akajua guest bubu ishajibuuu. Alhamdullilah akaanza kupewa safari za hapa na pale si haba. Bonus anapewa yoteee kitu ambacho hakijawahi kutokea, akajua tu watu wazima wenzie wanamlinda kiutu uzima. Na ghetto akija anakuta luku imeongezwa, mara kumesafishwa hatariii, mara misosi imepikwa kabakishiwa kwenye friji, guess inajazwa, pombe unlimited, dispenser liko full, vichocolate chocolate aaaahakawa anajiachia tu. Kwani anadaiwa na mtu? Akaaaaaaa.

Ikaja performance apprisal maboss zake wamempa recomendation za hali ya juu sanaaa mpaka inatia shakaaaa, wanasisitiza awe promoted as soon as possible for his outstanding performance. Hahahaaaa! Mjini chuo kikuuu. Akapewa promotion ya kwanza after 7 years za kufanya kazi kwenye hio kampuni. Akaitwa na director of Hr kukabidhiwa promotion letter yake.

Akaendaaaa. Babu mtu mzima hovyooo. Akampa fact to kiwa promotion yake ni ya kisiasa, hilo liko wazi, na anajua kuna kitu kinaendelea chini kwa chini kilichopelekea awe promoted, hajakijua bado ila sababu yeye mzee kijanaaa, mzee wa ramani na madili either amshirikishe mwenyewe na wampe cut kwenye hio deal au ampotezeee amfanye yeye mjinga ila akijua chezo lao atamuandama mpaka basi. Harris akajiongeza kumpa ramani Mzee kijana. Mzee akasunya akasema vijana manina kweli nyie, na mimi nataka funguo. Harris akatabasamu akamwambia na mimi nataka promotion. Mzee kijana kwa sasa haiwezekani kukupa promotion juu ya promotion ila naweza kukubadili kitengo kwenye level yako hio hio nikakuweka jikoni ukapiga pesa. Harris akamwambia deal! Kesho akampa funguo.

Kidogo maisha yakaachiaaa, kidogooo. Akaanza kuwa na hela na hela ikaanza kumtoshaaa kwenye matumizi yake. Akasave save aknunua na yeye ki run x, akawa yupo kwenye ramani atleast. Hela ikawa inampitia. Tatizo la hela haitoshiiii hata upate ngapi. Akaona bado hela haimtoshi kabisaaa kabisaaa hata afanyaje.

Ujio wa Stacy pale ulimuumiza sanaa kichwa ukizingatia alitokea tu kumuingia rohoni toka day 1 anamuonaaa. Na Stacy alivo sio mtu wa kumuona yeye. Mara kibao kajiongeza kwa stacy ila it is as if she hardly noticed him. Hakumlaumu kabisaaa. Kwa lipi sasa amnotice. Akawa tu ana mu admire kwa mbaliii atafanyaje, moyoni anajisemea iko siku.

Akawa anaongea na Laurent wa idara ya kina Stacy, anamuuliza how is the divorce comming? Anamwambia bwana mambo sio mazuri kabisaaa, yule mwanamke anataka kuninyanganya mtoto, ampeleke America.Na akienda nae US unadhani nitampata tenaaa? Siwezikumpata. Mpaka jana kwenye settlement nimemkubalia achukue nyumba zote na viwanja aniachie mtoto kagomaaa.

Kiukweli Harris binafsi mimi unanijua ni Yatima sina baba wala mama wala kaka wala dada. Niko peke yangu. Na mtoto ndo damu yangu iliobakia duniani naanzaje sasa kuishi bila mwanangu? Sawa siwezi kumlaumu mke wangu peke yake ndoa kuvunjika, i take part of the blame, i didnt try hard as a husband but i dont want to fail as a father.

Alivoondoka akaniacha na Raul peke yetu, bila housegirl aliniweza si kidogo. Sina mama au ndugu useme aje kunisaidia. Nilihangaika peke yangu na mwanangu, nilikiwa sijui kupika ila now napika hatariii. Tulikiwa tunatibuanaaa, mzee mzima najikaza napika kikiiva anasema kibaya hali na hali kweli, aiseee ilikuwa frustrating. Ukifanya kitu hufanyi kama mama. Mara sikupendiii, i hate you. Aaaaaah!

Mwanangu kanisaidia sanaa kubadilika na kanifundisha maishaaa. Zile ratiba narudi usiku kwa usiki weekend sionekani zikaishaa kabisaaa. Nika adjust ratiba naamka mapema napika uji, namuandaa shule, nafua nguo za jana naanika, nampeleka shule ndo nakuja kazini, Saa 11 lazima nitoke nimpitie twende nyimbani, kukagua home work, kucheza, kupika ale, tusali, tulale. Mpaka tukazoeana akaacha kumuulizia mama mtu. Trust me those are the best years of my life.

Nikarealise i was never a father kwa dogo mpaka maza alipochimba. Weekend kumpeleka kwenye michezo sijui ratiba zake zingine aiseee. Ila unapata faraja sanaa ya roho. Mpaka nikampata mdada wa kazi anaeleweka akaja kutusaidia. 5 years naishi na mwanangu bila mama yake, namfanyia birthday, anaumwa anapona, tunahangaika wawili 2. Bond yangu namwanangu ni kubwa sanaaa.

Najua kila kitu chake, anacheza namba ngapi mpirani, anapenda rangi gani, anapenda movie gani, anapenda chakila gani kitu nachokuhakikishia humu ndani kama kuna baba kama mimi ni mmoja na huyo mmoja ni mimi. Kama huamini ngoja. Billy! "Naam Lau, unasemaje?" "Hivi mwanao anacheza namba ngapi mpirani?" "Sijui kwani vipi? Yani niache kuwaza mambo ya msingi niwaze namba anayocheza mwanangu amekuwa Messi au Ronaldo au? Kama huna kazi njoo nikupe". Wakaangaliana Laurent na Harris wakacheka tu.

Laurent akaendelea kumsimulia "Bwana ndo karudi alikuwa anafanya PHD hio miaka 5, kamaliza kapata kazi nzuri huko US na bwana mwingine mwenye hela probably ndo anamtaka mtoto aende nae huko US aiseeeee. Na kesi navoiona ona napotezaaaa. Nachanganyikiwaaa. Roho inaniumaaaa inaniumaaaaa sema nitafanyaje. Harris akamtia tia moyo pale, ila nae moyoni akajua Laurent atapotezaaa lazima manake mama wa mtoto siku zote ana nguvu mahakamani. Akawaza tu humu ofisini kila mtu ana matatizo yake.

Ile anatoka akamuona Stacy kageuka, akapita karibu akamsikia analiaaa, akataka aendelee na safari kabla haja jobolewaa, akaenda hatua kama 4 mbele ubinadamu ukamrudi akarudi kumuuliza unalia nini Stacy. Stacy kuulizwa ndo akazidi kulia, akaaa chini kabisaa kwenye pavements. Baadae kama akakumbuka kitu akamwambia naomba unitoe hapa. Harris akamuuliza nikupeleke wapi? Stacy akamwambia popote tu ambapo hamna mtu anaenijua.

Akamwambia twende, akampakia kwenye Runx. Hahaaaa! You could tell Stacy was uncomfortable kwenye run X alivoingia ila akakimbuka kilichokuwa kinamliza akaendelea kulia tenaa kwa uchungu. Akaamua ampeleke ghetto kwake kwanza wakafika mlangoni kuna sign ya dole gumba, ukiligeuza manake kuna mtu ndani. Akaligeuza wakaingia.

Stacy akawa analia basi Harris anajitia mwenyeji mwema, anamiminia shots, Stacy akaonja akatema na kuuliza nini hiki, it tastes piyuskiiii. Harris akatulia kwanzaaa. Stacy kalia weeee. Baadae Harris akamuuliza inalia nini? Stacy akamwambia nimefiwa na mdogo wangu. Nimepokea sms pale wakati naenda parking kuwa alifariki na amezikwa. Simu yangu ilipasukaa sasa nikawa sipatikani leo nimehamisha line ndo nakuta huu ujumbe. Harris akaanza kimpa pole nyingi nyingiii. Anamuuliza kwa hio unaenda msibani? Akasema siendi ashazikwaaaa, basi tu rohoni kwangu nakumbuka mambo mengi sanaaaa.

Ngoja kwanza niende chooni. Harris akashangaa harudi mara akasiki shower akajua kaamua kuoga moja kwa moja. Akawaza tu daa lile toto liko bafuni linaoga hatari sanaaaa. Akamuepusha shetani kwa kijiambia kafiwa lakini. Akasikia kaka kakaaa naomba taulo. Mmmmh! Akapita pale bafuni mlango uko wazi mtoto yupo kwenye shower kama alivozaliwaaaa. Akaingia chumbani akapeleka taulo akaliegesha kwenye kitasa.

Akasiki nileteee uku bwana unachoogopa nini ambacho hujakionaaa? Akamgeukia sasa mambo yote hadharaniiii. Looooh! Harris akajisemea huyu mwanamke ananiona mimi shoga sana nini, yani hapa nakula mzigooo, akizingua nambaka potelea pote kazi naacha, na mji nitahama ila hapa kilichokuwa kati kati yangu mimi na shetani wangu wa kumla huyu binti ni hakunaaaaa

Akaenda kumvaa dada wa watu mzima mzimaaa full, Stacy akashtuka akawa ana resist kutaka kujinasua maana ashauona ule ni ubakaji wa live, sema nini Harris akawa kamdinyaaa kweli kweli na ashaanza kumkisss. Ile hali na nyege alizokuwa nazo tangu juzi na matatizo yake ya kujiua kaka ake baada ya kumwambia mambo yale ya kikatili vikawa vimechanganyikana akaamua tu kutoa ushirikiano kati kati potelea pote.

Harris aliona ile mwanzo kiwa demu hataka akakata shauri ajizuie tu, ametoka mbali sanaa kuaribu maisha yake sababu ya papuchi, kama demu hataki sio kesi la muhimu kajaribu na imeshindikiana, akitaka kuacha akasikia mtu anatoa ushirikiano anampapasa. Akasema hapa hata siulizi wala sijivungi ni mwendo kasi tu moja kwa moja. Akafungulia shower upya na nguo zake, Mtoto Stacy ndo anamvua nguo mwenyewe, akajisemea kweli jasiri anafaidi asinge jasiria chiu si angekosa mambo kama hayo matamuuu. Akataka kuonesha kipajiii cha kupigana miti. Pesa hanaa ndio ila kazi nayo imshinde hataaa. Akakumbuka picha la Rambo na May na scene ya bafuni, akampiga kimoja cha bafuni kwanzaaa kuleta heshimaaa. Demu kalegea hatariii.

Akambeba na kumtupia chumbani, akaendeleza makamuziii, yaani mmmmh mpaka Stacy akaomba pooooh "kaka naomba tu ukojoe utanichubua sasaaa, hata kama kumfanya mtu umezidishaaa. Kama unanilipaaa." Harris anachekelea tu kwa kuweka heshimaaa. Hahaaaa! Moyoni anajisemea kawasimuloe na mademu wenzio wa mule ndani kwamba huu mziki CD800. Shenzeeeeeeeee! Baadae wote wako hoiiii bin taaban. Stacy akamtuma naomba kaniletee pochi yangu. Harris akamletea, akachukua msokoto akauwashaaa.

Kuvuta anavuta Stacy kukohoa anakohoa Harris, Stacy anamwambia vuta kidogooo uchangamke, Harris akamwambia hapanaaa, situmiiii, nina Athma. Stacy akamjibu "Una athma au you just a sissy who cant handle a joint pussy!" Hariss ikamuhuma sanaa kuitwa pussy kwa kimsokoto cha bangi. Akachukua akavuta puff moja tu akakohoa nusu maini yatokeee. Stacy anamcheka tuuuu. Hahaaaaa! Just admit it you just a pussy who cant handle a joint. Ukapita ukimya Harris bado anakohoaaa.

Stacy akaanza kumwambia ila kama anaongea mwenyewe zaidi, "you know my little lovely brother died, he committed suicide, he hanged himself. Took a rope and hanged himself. Gone too young. I always wished him dead, i wanted him dead, now that he is really dead i wish i could have done more for him. He was Gay so what? He was still my brother. My little muchkin who i fed milk, who looked me with his adorable eyes. Fine he liked boys why couldnt i just understand him and accept him for who he was, i just couldnt be the sister he wanted me to be nor the big sister who was there for him when he needed me. My lovely brother is no more and i pushed him to death. I his sister. I guess he could handle being unwated every where but by his own sister that was a final straw. I paid him money to get out of mylife as if i have a life, and he abided his sister wish for the last time. He left me a letter, i cant bring myself to read the letter nor pick it up. I know he must have blamed me for his death. I live in such a cruel world.

Harris akawa anashangaaaa kumbe maofisini watu wana siri nzito sanaaaa. Aiseeee, who would have imagined. Akajua tu pale Stacy akauwa anaumia sanaaa. Ila akaamua kumuongeza dozi ya diclofenac na asili kumpunguza maumivu hakutaka kucomment chochote kwenye hio topic manake it was too personal na he didnt know what to say.

Akaamua kumbusu tu na kumuongezea dozi nyingine ya goli lingine la kulaliaaa.

ITAENDELEA SAA 4 USIKU.
 
I was waiting ngoja nisome ado ado huku nasubiria wali maharage haha
 
Thenks mama japo wachochea genye ila tamu mno
 
Umenifurahisha sana pale stacy alipokuwa kwenye kikao, pale part 1.

Ila lara utakuwa uko kwenye managerial level ktk kampuni unayofanyia kazi, eti?
 
Naenjoy zaidi pale unapotia kizungu, nakuelewaa sana
Yan nasoma story kama vile niko kwenye eneo la tukio

Thanks sana
 
Hivi sasa ni saa 22:30

Ewe Lara One where are you???

TUPIA part 3 hiyo
 
Gillbert almaarufu kama Gill, The young MD, Baba Rogers na Rhoda. Mume halali wa Marrie. Mchepuko halali wa Stacy. Kiukweli mwenyewe mpaka kesho haelewi alifikaje fikaje hapo katika huo mtungooo wa watu hao wawili. Mkewe na Stacy. Amejiuliza mara nyingi sanaaa kati ya mkewe na Stacy anampenda nani zaidi bado hajapata jibu. Na hajui lini atalipata hilo jibu.

Everybody is special in their own ways. And he has special feelings for each woman. It is as if mmoja wao hawezi kumtosha ili akamilike lazima wote wawili wawepo ndo ukamilifu wake unatokea. Marie is a more of a wife and a responsible mother that every man wishes for and should have to be successful, she has a blossoming career in UN, as a journalist, big pay checks, well connected, backed up with a well to do mummy and daddy. Future with Marrie can never be brighter.

On the off side Marrie hamjui kundani yeye Gillbert ni nani, katokea wapi na what he is really capable of, anamjua tu vile aliomwambiaaa na ambavo vingi ni vya uongo na kutunga. Pia Marrie is so boring not spontaneous, ni mwendo wa kifo cha mende tu humo ndani january mpaka December. Anapenda kuwa natural mda wote so her looks really change, na nguo anazovaa zinafanana ni suti zile zile dark blue, black, grey hatoki nje ya comfort zone yake. Mda mwingi anajisikia kumchoka sio kidogo. Alafu she is well exposed, ameishi sanaa nje anajua vitu vingi, ana exposure kubwa sanaaa so Gillbert kumfacinate au kumu wow na kitu ni nadra sanaaa. Mara nyingi Gillbert ndo anatolewa ushamba na Marrie. Hata kazi hii ya u MD, Marrie ndo alimkutanisha Gillbert na hao wazungu akajipigia siasa zake akawachota na kuajiriwa hio position. Not that bila hio kazi he was incapable of taking care of his women wote Marrie na Stacy nooo, alikuwa anafanya kazi nzuri tu sema aliona mda wa yeye kuwa MD umefikaaaa.

On the bright side Marrie is independent, responsible and reliable, hata akifa leo Gill anajua wanae Rhoda na Rodgers watasoma mpaka wachoke na wataishi vizuri tuuuu. Hata akilemaa leo Marrie will tak best care of him hatokuwa na swala la kuwaza ataishije. Isitoshe anajielewa na anampeleka mrengo unatakiwa kama investments za hisa, mradi, na mambo ya kimaendeleo. Nadra sanaa Marrie azuzuke na set ya Tanzanite worth millions, walaaaa, anampaga aniversary zao ila anazitelekeza tu kwenye droo, kimbembe Stacy anadai kabisaaa tena kwa kejeli. Kingine she is trust worthy anauhakika asilimia 200 hata akifungwa jela leo miaka kumi ijayo akatoka atakuta Marrie hana mwanaume na hajamsaliti hata siku moja ila kwa Stacy anahisi pamoja na yote aliomfanyia lazima atakuwa anakzwa na watu behind his back basi tu arobaini yake haijafika na ikifika atamtambua maana yeye ni mwanaume mwenye wivu sanaaa. Alafu kingine Marrie yupo wife material atahakikisha watoto wanakula healthy home cooked meals, balanced diet, anawpima uzito daily, anafatilia growth charts, she is reliable ila Stacy kwa kweli hana uhakika kama ataweza kulea mtoto, hana kabisaaaa.

Stacy on the bright side kamkuza mwenyweeee, so some how he feels responsible for her. Hajamtoa yeye bikra ila ameanza kumla tangu akiwa form 3 mpaka leo hii, making their relationship longer than his marriage. Stacy has been in his life too long he cant imagine his life without her. Yeye ndo alimtorosha kwao akamleta mjini. The thing about Stacy is anamuamini sanaaa. She never doubts him, anamuamini sanaaaa. Chohote atacho mwambia ha doubt wala hapingi wala ha question anatekeleza tu. Kwa Stacy yeye ndo dunia yake. Anapata true sense of a man akiwa na stacy. Maana bila yeye Stacy hana ujanja kabisaaa. Stacy is spontaneous, huwezi ku predict what she will do next. Haishi kumshangaza kwa kweli. Kwa muonekano ni kama kinyonga ana badilika kwa masaaa, kinachomfanya amuone mpya kila saa. Hamzoei wala hamchoki. Na anamjulia kumstarehesha vile roho yake ina desire.

On the offside Stacy ni mzigooo tena mzigo wake wa kudumu, if he ever goes down chances are he will take Stacy with him. Bila yeye Stacy hana ujanja kabisaaa. Stacy tegemeziiii asilimia 200% Hana sense of independence hata kidogo hana uchu wa mafanikio, ni mtu wa kuridhka na vitu vidogo sanaaa. Kazi zote kamtafutia yeye, na anamfanyia yeye technically maana Stacy analipwa mshahara ila in reality ideas na execution zinatoka kwake most of the time. Hajajipanga mpaka yeye Gill amwambie afanye nini next ndo ajikokote kufanya. Either way anampenda hivo hivo.

Akawaza angekuwa muislamu angewaoa wote mke mkubwa na mdogo. Sababu ni mkristo na alikuwa na ndoa moja akaamua kumuoa Marrie for security na bigger reason ni kuwa angemuoa Stacy, Marrie asingekubali kuwa mchepuko, her IQ is too big kuwa mchepuko wake, but alikuwa na uhakika wa kumuoa Marrie na Stacy akaendelea kumpa mpa maneno wakaendelea kama kawaida.

Marrie knows about his infidelity problem, but she choose to over look it. Anajifanya kama hajaona, hajui, wala haelewi nini wala nini. Na anajua kabisaa Marrie anamjua Stacy, na anajua ni mwanamke wake still zikitokea situation ikabidi wakutane Marrie anakuwa very understanding and compassionate mpaka anatishika mda mwingine kwamba Marrie ni mwanamke wa aina gani. Ndo maana amejikuta anamuheshimu sanaa mkewe. Kwenye birthday ya mwanae ya kwanza ikabidi Stacy asiwepo, sasa atakuwepoje na hio si nafasi yake, ikatokea Stacy nae analalamika kwamba nae anataka mtoto sijui nini kisa tu hio birthday ambayo na wakwe zake wangekuwepo. Akawa kamjibu kunya kweli kwamba haruhusiwi kuwepo kwenye hio party. Basi party nzima akawa anajisikia vibaya alivomjibu vibaya Stacy wakati nae mwanamke tu kama Marrie, akawa down sanaa. Marrie akamuona ana raha, akafanya manuvaa mpaka akaipata simu akasoma convo zao akajua kumbeeee. Birthday inayfata akampiga biti tena Stacy hamna kuja, Stacy akasema sawa. Sku ya party Marrie akampigia Stacy akamwambia uje kwenye bithday. Stacy akawaza mbona kama ananijaribuuu. Akili yake ilivo ndogo akaenda kweli liwalo na liwe.

Gillbert akastuka kumuonaa, akakosa amani akamanuver manuver mpaka akambana kona akawa anamfokea kwanini umekuja? Huna akili wewe, nilikwambiaje unataka kuniaibisha si ndio. Stacy akitaka kujitetea hapewi nafasi. Akatokea Marrie akamwambia Stacy, nilijua hutoweza kuja on short notice, karibuuuu, niliona Gillbert kasahau kuku alika kawaalika all his close friends. Akamkumbatia kinafiki na abasamu kubwa. Gill akawaza what is Marrie up to this time? Akawa anakaa kimashaka mashaka party nzima. Baadae akajua tu that is Marrie so sweet, basi Stacy kuwa pale na mkewe, wake zake wote wawili akajikuta ana furaha party nzimaaa, na tangu siku hio birthday zote Stacy anaendaga.

Hata kwenye harusi akiwa na Marrie, wakionana na Stacy kmamarafiki, Marrie mkarimu mpaka aibuuuu. Mda mwingine anawaza ujinga ujue hawa hata nyumba moja wanakaaa uke wenza. Hahahaaaa! Na kuna siku alikuwa hapatikani kwa sababu zake binafsi Stacy akawa anahitaji hela mpaka basi, akapiga kwa Marrie, na Marrie akamtumia, na akaja kumwambia Stacy aliomba nimrushie kiasi flani, nimempa kama mjinga vile. Yeye akabakia kujikausha kwa aibu.

Akakumbuka alivomjibu kunya juzi Stacy, na hawajaonana the whole week, akawaza tu hapa ngoja nimtafute we spend the night together. Akamuaga Marrie anaenda Moro akabook hotel, Alikuwa kammiss. kapiga simu weeeeeeeeee haipokelewi. Kapiga kapiga haipokelewiiiiiiiii. Missed call 25. Akaingiwa jazba huyu Stacy atakuwa tu analiwa na mtu. Na ole wake aje apokee hii simu. Akawa yuko hotelini kapanic hatariiii.

Simu ikaja kupokelewa baadae kabisaa mtu anaongea sauti ya kichovuuu akamuuliza uko wapi? Akataka kumpima imani nipo kwako haupo simu hupokei ushaanza kukzwa kazwa ovyo nje si ndio? Stacy huku akapanic akamwambia tu Traves committed suicide. Huku Gill akastuka akapoaaaa, akaingiwa imani akamuuliza uko wapi? Stacy anajiliza niko huku i am lost Upanga nimekuja tuuuu, sijui nimefikaje gari nimeacha ofisini. Niko tu barabarani nimekaaaa. Gill akapanic, nenda bar ya Scout hapo Mfaume nakuja kukufata usikae barabarani utabakwa mda umeenda saa 6 hii ya usiku. Stacy akajibu haya. Gill anasisitiza nakuja sasa hivi. Kukata simu, akarukaaa, vaa nguo fastaaa, Harris akajua tu kumekuchaaa si alikuwa anasikiliza ile simu mdhalo wao. Akajicompose fasta fasta akataka kutoka. Harris akamwambia ngoja nikusindikize usiku saa hizi Upanga huku sio kuzuri. Wakawa wana troat Stacy hana amani anaangaza just incase wasionekane.

Njiani Harris anamuuliza "what about us?" Stacy akamwambia niache kwanza nisolve hili nitakujibu at the right time. Akaambiwa wewe ishia hap hapa. Harris akasimama Stacy akaenda mpaka Scout bar. Harris akadinda kuondoka mpaka aone Stacy ataondoka na nani hapo bar. Mda si mda akaiona gari ya MD inapaki, Stacy akaingi hao wakaondokaaa, roho ikamuuma sanaaa, sanaaa. Akarudi kuhesabu paaa.

Wamefika hotelini Gillbert anamwambia we shouldnt talk about it you need to relax, i want relax you. Stacy akawaza tumeeeeee huyu atataka mzigooo na nimeuza mechiiii. Akachokaaaaaaaaa. Akawa anawaza anajiokojae akapanga kumnyima Gill kwa siku hio tu. Huku na huku kaanza kumshika vizurii tu, Stacy amepanga akifikakati ajifanye hana mood kabisaaa. Huku na huku kapeleka mkono ikulu. Akastukaaaaaaaa! Mbona hujavaaa chupi wewe? Ulikuwa wapi? Au umetoka guest umesahau chupi? Tobaaaaaaaaaaaa! Akakumbuka chupi iko kwa Harris! Chinekeeeeeeeeeee! Akawaza hafi kirejreja.

Akatunga uongo, chupi itakuwa niliisau chooni kazini, msiba umenichanganyaa sanaa. Itakuwa kule kupanic nilivoenda kukojoa nimeiacha hapo hapo. Gill was not convised.Akamuuliza una uhakika? Stacy kakomaa ndio baby. Gill akamwambia kama ni hivo saa 11 tunaenda mguu kwa mguu uingie chooni utoke na hio chupi bila hivo sikuelewi kabisaaa, sitokuelewaaaa chochote. Stacy akasema haina shidaaa,mimi njiamini. Akachokaaa kiakili. Ikabidi atoe tu mzigo tena kuua soo japo kachoka kinomaaa. Akilini anachuja hana shoga ofisini wa kumpigia wanaeweza kuwa wanavaliana chupi mwenye access ya security kuweza kumuwekea chupi usiku huo chooni. Akili ikamvurugika. Akakumbuka Harris ana security pass, akaenda chooni kumuandikia sms.

Nimesahau chupi yangu bafuni kwako chonde chonde saa 10 kaiweke choo cha wanawake floor yetu. Please usiniangushe my life depends kwenye hio chupi kuwa chooni. Thanks a lot stranger. Akaflush akatoka chooni na kuja kujilazaaa. Moyoni anawaza Harris ataipeleka ile chupi ama vipi. Masaa yanaenda sms haijajibiwa.

Saa 11 akakurupushwa na Gillbert mda wa kwenda kufata chupi ofisini. Amka amka. Roho ndi ndi ndiiiiii. Mmmmmh! Harris hajamjibu text yake. Akawa anaenda anajua kuachika nje nje.

ITAENDELEA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom