Kwa herry no basi bora nije kwa Gill
Potelea mbali wacha nipoteze...mimi team Harry!
Me team Harry no way niwe kwa mafia gill
Gill nampenda ata yy anahaso zake kibao tu tena kushona ata Harry kwanza kumsomesh demu wake mpaka kumtaftia ajira kwenye time ya kazi ataki mapenzHaya mkubwa all the best, mie kwa mikiki aliyopitia Harry hadi sasa hivi namuona mpambanaji sana, kumbuka alitema ajira kuliko fedheha za Gill, kachomoa offer ya 50M sio jambo dogo ujue, akajpanga akatoka upya kama mzee wa entertainment.. Mtu wa hivyo haishiwi ma surprise, sasa unaanza kuwa upange wa Gill kwa lipi Mwana? Wake up mkuu
NA KU QUOTE ILI KUKUFUNGA MANENO YAKO! Mi muandishi natabiri watu wengi kuhama team JIONI. hahaaaaaa!
NAOMBA KILA MTU ATANGAZE TEAM YAKE MAPEMAA TUWEKE REJESTAAAAAA KABISAAAAA.
Asante mama tupo pamoja team Gill for lifeMi team Gill na stancy though saivi kidogooo mambo yao ndivyo sivyo
Teh hizi teams hiziMi team Gill na stancy though saivi kidogooo mambo yao ndivyo sivyo
Asante mama tupo pamoja team Gill for life
Teh hizi teams hizi
Ndoivo nawewe sema mapema tujue kama huwa unalenga mulemule au nje ya box
Si kweli kuna mmoja VI mambo vyake ukivisoma unafurahiaMimi naenjoy the vibe of the story na vijimambo ndani yake, sipo team yoyote
Teh hizi teams hizi
Ndoivo nawewe sema mapema tujue kama huwa unalenga mulemule au nje ya box
Uko team gani? Acha longolongo!!!!!!
Mbona unalitosa chama kubwa LA papaa Harry? Au kwa vile kisigino kimepona umeacha kuchechemea. Utakosa lift, mjini hapa.
Mbona unalitosa chama kubwa LA papaa Harry? Au kwa vile kisigino kimepona umeacha kuchechemea. Utakosa lift, mjini hapa.