Weekend Story! The Workaholics Silence

Stacy nenda mwaya kwa lau akakupe mimba mlee mtoto wenu tena hope mtampenda maana wote mnashida na watoto
 
Lara leo nimelala nimeota story yako tu walah mpk najiona mwehu ahahaaha meota yan uongo mtupu et Harry hana mke wala nini ako katoto anakodai mkewe ni mtoto wa Gill na uyo mtoto pia ni wa Gill
 
Lara leo nimelala nimeota story yako tu walah mpk najiona mwehu ahahaaha meota yan uongo mtupu et Harry hana mke wala nini ako katoto anakodai mkewe ni mtoto wa Gill na uyo mtoto pia ni wa Gill

HAHAHAAAAA! Nenda tu kwa mganga akurudishie kuku zako, kila unachotabiri holaaaaa. Unatamani unitupe mstuni uje uimalizie wewe hii story. Hahahaaaa! Au uimalizie unavotaka kivhwani mwako.

Unavohangaika kutabiri mpaka unani shawishi nichachue story na kupindishaaa mstari nikupe hata kautabiri kamojaaaa. Hahahaaaa. Seriously acheni kutabiri manake zitaibuka kambi hapa kna tema kama Walter vs Collins. Hahaaa afu mwosho mnanipa kigugumizi kumalizia maana vovote naonekana nimepokea rushwaaa.
 
Walter team bado tunagugumia wee acha tu. Hapa movie linachanganya ubongo hadi unakosa uwe upande gani. Hongera lara 1
 
Ahahahhahaha we maliza tu kama kwa colins ahahahahah
 
Ha ha ha ha lara 1 wewe ni nyokooooo
 
Hahahaaaaaaaa!Mwambie mganga wako akurudishie kuku wako ramli imekosewa. Mtahangaika kutabiriiii hii sio Bongo movies. Ninge betisha ningewala hela.
Umetisha kubwa la maadui.
 
Haina kuchachua hii klm tupe kama lilivyo mana kila nikijaribu kutabir naona bila bila
 
Ila watu n ma chichidodo.Travis alivyokuwa hai walikua wanamwona haramu kiss shoga.kusikia kafa kaacha pesa,Wanagawana.ka waliona ushoga haufai why wasingekataa na izo pesa
 
Ila watu n ma chichidodo.Travis alivyokuwa hai walikua wanamwona haramu kiss shoga.kusikia kafa kaacha pesa,Wanagawana.ka waliona ushoga haufai why wasingekataa na izo pesa

Does this mean unatetea ushoga?
 
lara 1 you are tough, i spent 2 hrs to read all still waiting later
 
Big up! Tahadhari kuna majijuun wanataka kukuona, usikubali hata akujue jue.. ni kichefuchefu zaidi ya mimba changa, lol.
Alaa kumbe unajitahidi kutia KAUZIBE,basi sawa lakini kumbuka yote ni mipango ya MUNGU,nakuombea UBARIKIWE.
 
Hahahaaaa! MJINI HAPAAAAA! UKIZUBAA TU UMEZIKWAAA.
Bravoooooooo mrembo wewe na akili zimekujaa au vipi?,kuna wadada humu wanakuonea wivu na elimu zao ni zero,yaani illiterates na yamo humu kuandika UTUMBO tu na pia kurukia watu mithili ya nyani kwenye miti ya mipera,mwisho wake huwa yanaangukia visogo na kuwa MAJINUUN kama limojawapo humu jukwaani,lilijaribu kuandika neno MAJINUUN,likajikuta limeandika MAJIJUUN,hiyo yote imesababishwa na kuangukia KISOGO.
 
Big up! Tahadhari kuna majijuun wanataka kukuona, usikubali hata akujue jue.. ni kichefuchefu zaidi ya mimba changa, lol.
Sasa wewe umesahau mdomo wako ulivyokuponza?,yaani vile videnish siku ile vilikuchambua mpaka chupi yako ambayo ukiirusha ukutani lazima itanata,walikwambia hivi" WE MBWA,WE MBUNYE KUNUKA,UMETUKANWA NA WATU DUNIA NZIMA NA BADO UNATAKA KUSHINDANA SISI?" sasa umeshindwa kupambana nao unaanza kuita watu MAJIJUUN.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…