KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Sikuamini sababu kama huna roho mbaya mbona nakuita chumbani PM uje nikupe ya moyoni lakini hutaki.sina roho mbaya na sijawai kuwa na roho mbaya najiamini
Sikuamini sababu kama huna roho mbaya mbona nakuita chumbani PM uje nikupe ya moyoni lakini hutaki.sina roho mbaya na sijawai kuwa na roho mbaya najiamini
Tatizo unawaita wengi KARANJA ndo mana wadada wanakuogopa,hebu toa mchango kwanza story ishushwe ndo uwaiteSikuamini sababu kama huna roho mbaya mbona nakuita chumbani PM uje nikupe ya moyoni lakini hutaki.
Yaani umesema kweli kabisaaaa,yaani una machale makali coz nimewaita wengi sana tena saana na ndio wananiona chakubanga,lakini hawajui ni bonge la PEDESHEE handsome boy alietembea dunia na sasa anataka kutulia na kula MAKUKUZ bila kuchanganya madawa.Tatizo unawaita wengi KARANJA ndo mana wadada wanakuogopa,hebu toa mchango kwanza story ishushwe ndo uwaite
Sawa ila hukuwa na sababu ya kuandika huo uamuzi wako hapa kwakuwa unawavunja moyo wale wenye mioyo ya kuchangia.maisha yangu sitokaa nimsaidie mtu...
nishatesekaga sana nikakosa hata sh mia hakuna alienionea huruma yaani
Mungu atamsaidia tu kama alivonisaidia
Hahahahhaaaaaaaa,..umeua mkuu,hebu niwaite nyie Skyeclat,natafuta,rubii,na wengineo hebu nendeni PM mkashinikize huyu PEDESHEE atoe hiyo 1mil. Story ishushweYaani umesema kweli kabisaaaa,yaani una machale makali coz nimewaita wengi sana tena saana na ndio wananiona chakubanga,lakini hawajui ni bonge la PEDESHEE handsome boy alietembea dunia na sasa anataka kutulia na kula MAKUKUZ bila kuchanganya madawa.
Karma is a bit*chmaisha yangu sitokaa nimsaidie mtu...
nishatesekaga sana nikakosa hata sh mia hakuna alienionea huruma yaani
Mungu atamsaidia tu kama alivonisaidia
Mbona watakoleaaaaaa coz nina maukwaju na asali.Hahahahhaaaaaaaa,..umeua mkuu,hebu niwaite nyie Skyeclat,natafuta,rubii,na wengineo hebu nendeni PM mkashinikize huyu PEDESHEE atoe hiyo 1mil. Story ishushwe