Weekend Story! Glory Be To God!

Bado nawaza ile harusi alioenda kuhudhuria isijekuwa ndo yeye alienda kuoa(naomba iwe hivyo )...
Kwa micare ile ya Dee naomba awe amembandua tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Weweee ambandue vipi unataka atubemendee mtoto eeee
Hajala kitu apoo kwanza wote wawili wali care sema tuu ndo ivyo kutesa kwa zamu
 
Yaani ungemalizia kabisa aende na kisu amchome au amgonge na gari afweee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu mwandishi kuna siku ntamshusha shipa la kike!!
yaani mi nakesha kusubiri kweli afu hatupii!?kama ni huyo msomali na afe tu pamhmbaaaaf!
 
Na anayo maelezo mazuri wala usijali
 
Nimeipenda hiyo
 
Msomali kaja kufata chata yakeee na Lara hajatuambia kama Sally amesha Fanya kwanzia ajifungue so atakua na ugwadu sio Wa nchi hii action ya kwanza watapiga game moja kabambe na msamaha utapita hapo hapo
Yan mulemule[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…