Weekend Story! Glory Be To God!

Missed you @Lara1

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi tumeshaambiwa team kuokoka tu! Mama yeyoo, si naona hata ile kubwa la maadaui nasema tumsifu mwokozi naacha kabisa ile mambo mbofmbof?
Inabidi tuokoke tu baba yeyoo hakuna namna
 
Huwa napenda kusikiliza wimbo wa aint mad at cha umeniijia waqt nausoma uzi huu! Lara weye kiboko.
 
Nawaona nawaonaaaaa!

Team roho mbaya nawaonaaaa!

Zamu yenu kukaangika. Tena tunawakaanga bila mafuta.

Mlivokua mnajidai innocent enzi za MOTP, tunataka muendelee ivo ivo!

Sio mjidai kuswitch sides.

It's payback time!

Baba Winnie wanyoosheeeeeeee!

- KANA -
 
Jamaniiiii! Muwe waelewaaa tu, mimi ni miandishi wa kujitegemea sasa mda mwingine kujitegemea ndo kunakuwa kama hiviiii. Mda si mda Naleta mambooo!
Kuweni wapoleeee, dude la sahiviii ni kama DAYS OF OUR LIVES labda litaisha December kwa mapenzi ya Mungu.
 
Ndo ukinukishe sasa ivi.
 

Hawajui hii ni huduma unayoitoa at your own discretion
 
Lara 1, inasemekana hauna roho mtakatifu.

Eti hapo kanisani wewe una roho mtaka kitu!

- KANA -
 
Hapana Mimi Mwanaume,Siwezi Kuwa Huko Tunakopesha Papa Ltd. Heheheheh. Huko Ni Kwa Dada Lara1 Na Employee Wake Mpemba!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Aaaaah! Mtake radhi mtumishi wa Mungu, toka hajampikea Mwokozi alikua hakopeshi wala freee, iweje leo umtuhumu ilihali ameshamkana ibilisi na kazi zake zote?

Ila mpemba nae anachangamoto yule!
 
Aaaaah! Mtake radhi mtumishi wa Mungu, toka hajampikea Mwokozi alikua hakopeshi wala freee, iweje leo umtuhumu ilihali ameshamkana ibilisi na kazi zake zote?

Ila mpemba nae anachangamoto yule!
Hakika Neno La Bwana Limemuingia Na Amejua Kuwa Kukopesha Kwa Riba Kubwa Ni Dhambi. Hivyo Amemkopesha Bro Kirohosafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…