Weekend Story! Glory Be To God!

The man of the people, desperate na shabiki wa simba na yanga ule uswazi wa muleee basi mswazi me alinipata
 
Baba yeyoo hawara hana talaka ujue

Mama Yeyoo nimeamua tu kiroho safi nikae pembeni rafiki. Naona ubuyu umekuwa ubuyu kelikweli, aunt espy kanikaba koo sipumui sifanyi chochote... na mie kawaida yangu ni kijiepusha na matatizo kabla hayajanikuta. Nilishaambiwa na lara 1 kujiepusha na matatizo haimaanishi mie ni dhaifu..japo yeye mwenyewe komando kipensi, mama ubaya kubwa la maadui surenge rambo checki noris balaa tupu.

Nimenawa rasmi Mama Yeyoo...naumia kama Msomali alivyokua anaumia kimyakimya kwa Sally pale mwanzoni mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…