Weekend Story! Glory Be To God!

Heheheeeeeeee si ya kucheka haya though [emoji23] . Ila Lara Wee nuksiiiiiiiii hufai hata kwa kulumangia asee



Mahondaw wa Smart911
 
Haha lara kakupatia kiki ya MOTP lol!!


Uwape za ibra Msomali marioo tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]



Mahondaw wa Smart911

Wahuni wanasafiria nyota ya MOTP mie naishia kupata lawama tu...
 
Hahahaah MOTP gani una maneno hivi lol!! [emoji3] [emoji3] yani Mwingiiiii lara akasome Tehtehteh [emoji23] [emoji23]! Afu Hii ya mezani haijaamsha dude kama ile ya kulikalia yelewiiii!!



Mahondaw wa Smart911



Mahondaw wa Smart911

Hahahaaa eti inaitwa self service! Angekoleza sana watu wangetenguana viuno af kesho kwa mkoloni.
 
Aaaah! Hizi enzi za kumrudia Muumba rafiki. Hizi full na passport picture tutaziacha tu..ukalie ulalie yote ubatili mtupu!
Yooomaaweeeeeeeeee!!! Kweli siku za mwisho Zimefika walahi . Vipi Umekua baba mchungaji nini???
Lara keshakuambukiza wokovu au wewe ndo ulimpa ka upako?!

Lara nuksiiiiiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]!


Mahondaw wa Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…