carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Kimoyo moyo sally anampenda Dee nivile hataki tu kukubaliDee Pablo!
Once a king, always a king. Its a matter of time, we'll be back on our throne!
Kumbe Sally anajutia kutokubeba mbegu ya Dee!
Hahaaa
Soon, Lara 1 ataambiwa kauza mechi.
- KANA -
Karibu sweetheart!
Asante sana nipo sambamba na Dee sitamuacha wala kumkanaKaribu sweetheart!
Team ushindi, team hustlers, team pesa team Pablo!
- KANA -
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Asante sana nipo sambamba na Dee sitamuacha wala kumkana
Asante sana nipo sambamba na Dee sitamuacha wala kumkana
Hahaa hili dude halifai ujue...hili dude ni amsha popoHuu ukimya kwenye jukwaaa inaonyesha watu wanaulizana tu..."..yote au passport? Utaweza tuu vumilia" KLM haufai. Umeleta xxxxx rated weekend ili uwaachie wasomaji ukumbi wa kujivinjari!!
Hahaaa hili dude weka mbali na watotoPole kwa wasiokua na Sally au Msomali. Huu ubuyu ni kilio..unaweza kujikuta unafukua makaburi kwa kutumia kanuni ya Shunie hawara hatalikiwi.
hii story...nataman ni idedicate kwa mtu mmoja hivi!!!!!
hahaha...haya bwana.Wakati bado unajishauri wa kumdedikia, mie nakudedikia wewe kwa sasa!
Hahaaa hili dude weka mbali na watoto
Same here[emoji137] [emoji137] [emoji137]Msomali to death.
Unatafuta visingizio eeh!!!Hahahaaa weekend Mama, au unataka niharibu tena? Tunatibu majeraha....huyu Shunie anahofu bure, nimeokoka waungwana naomba mnielewe. Sasa hivi ni mimi na KLM tu kumsifu Mungu.
Niwekee kumbukumbu sawa kwa binti yako kwamba sikughairi bali niliheshimu katazo la mahakama kutoka kwako.
Same here[emoji137] [emoji137] [emoji137]