Veni Vidi Vici
Member
- Jan 31, 2013
- 77
- 55
Nakusalimia tu mimi baba yeyooHahahaaa weekend Mama, au unataka niharibu tena? Tunatibu majeraha....huyu Shunie anahofu bure, nimeokoka waungwana naomba mnielewe. Sasa hivi ni mimi na KLM tu kumsifu Mungu.
Niwekee kumbukumbu sawa kwa binti yako kwamba sikughairi bali niliheshimu katazo la mahakama kutoka kwako.
Nakusalimia tu mimi baba yeyoo
Tehtehteh I also like that style..hasa mwanaume akiwa na dude na mwili fulani hivi. [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mahondaw wa Smart911
Mtumie auntie tu jaman baba yeyoo mbona alikubali kupokea halaf ataniletea mieMama Yeyoo nipo mzima. Umeona Aunt alinibania ukakosa ubuyu...mimi hapana tabia mbofmbof. Umekosa kitu cha babu Issa.
Mtumie auntie tu jaman baba yeyoo mbona alikubali kupokea halaf ataniletea mie
Dee Pablo!
Once a king, always a king. Its a matter of time, we'll be back on our throne!
Kumbe Sally anajutia kutokubeba mbegu ya Dee!
Hahaaa
Soon, Lara 1 ataambiwa kauza mechi.
- KANA -
Jamni leo jumapili mbona hiviiiii! Naona Smart911 ka like. Kazi unayooo, ujiandae na teminator utalikalia zimaa zimaaa. Mi simoooo!
HeheeNilikua nasoma mchezo Team Dee all the way.....
Mwanaume lazima ujue isaka pesa ukiwa msingi kiuno kuna kufia kifuani kwa jimama.
Asante mwaya ndo nimetoka kuisoma...
Usijali mamy. [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Asante mwaya ndo nimetoka kuisoma...
Hakuna namnaHehee
Karibu!
- KANA -