Weekend Story! Glory Be To God!

sipati picha sasa Jolline alivovurugwa,,,story nzuri Lara..
 
Kwakweli hizi zawadi za watoto sio kabisaaa!!!
 
Najuta kusoma hii episode ofisini... Lara utanifanya nianze kumsaka msomali wangu na mimi saa hizi. Hivi hili dude ulishalirate 18+??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


- KANA -
 
Well, kama umesahau acha nikukumbushe!

Dee ndio role model wa al-shabab

- KANA -
 
Mwanzo nilikuwa sijaelewa kwanini mnasema hivyo, haki nimechekaaa!!!

Yaani na kupika itabidi upikie kuni ili ukome vizuri[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

- KANA -
 
Ahahhah watoto bila ndoa au bila kupanga ila sally kanifurahisha sana anavyofanya kupotezea
Sasa kama baba mwenyewe ndio hivyo akili fupi hata hawazi mbali mtoto wa nini? Huyo aishie kumkuna tu
 
Owkeiiii,

Hatumuhitaji Sheikh Yahya kujua kinachofuatia. Msomali karuka ruka sasa naona anelekea kibla. Hapa kwenye mtoto ndipo kaburi lake lilipo!

Sema nmefurahi kujua msomali anacopy swaggs za Dee!

Hii inaonyesha we're a couple of miles ahead of him!

Sasa jiandaeni kwa msiba!


Alaf naona kila mtu anajiunga upande wa msomali. Hehee

IT'S DEE AGAINST THE WORLD!

- KANA -
 
Na hakuna kumhonga lara ili abadili gia angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…