His days are numbered, the bigger you are the harder you fall!Hivi wewe mtu mzima mwenzangu una nini lakini? HIVI UNDER OLD ME STORY YA BOYA KAMA MSOMALI INGEANDIKWA KWELIIII??? HATA MNISHIKIE KISUUUU. HIII STORY YA KITAMBOOO SANAAAA.
ILA ASHUKURIWE MUNGU MKUUU AMBAE KWAKWE BINADAMU WOTE NI SAWA, MTUMISHI WAKE MSOMALI KAPATA KUTAMBA JUKWAA MOJA NA MALEGENDARY, MEN WHO WORK HARD, MEN WHO PUSH LIMITS, MEN WHO MAKE IT HAPPEN KAMA KUBWA LA MAADUI MOTP, GODFATHER, CHRISS, KLM, FATHER, ETC.
GLORY BE TO GOD. ALIEWAPA WOOTE NDO KAMNYIMA MSOMALI NA NGOMBE MKUBWA KATIKA SEKTA ILA NDEVU KANYIMWA KAPEWA MBUZI.
TUKUTANE JIONI KWA XXXXXXXX EPISODE
Ngoja tusubiri, afadhali ni usiku.Aaaah! Sijui kama kuna kupona. KLM anakwambia tukae mkao wa kula...anaandaa XXXXXXXX atapona mtu kweli?
Ngoja tusubiri, afadhali ni usiku.
Hahahaaaa!!! Hatoroki mtu.Afadhali msijekutoroka kazini
Kwa msomali mtasubiri Sanaa,... Huyo ndo sterling yaniHis days are numbered, the bigger you are the harder you fall!
Soon, msomali atageuzwa kua a laughing stock!
- KANA -
Tupo mkuu msomali mwenzangu kanikosha sn hasa anavomkunja saly!Nimechelewa ila nimeisoma kwa kujinafasi.
Timu alshababu wenzangu mko wapi, I mark register. Sijaelewa why mnamsimanga msomali jamani! Hebu muuache ajienjoy. Mi sifugi bwana ila nipo hapa kumtetea msomali, sio kwa masimango hayo ya waja.
Jiandae kisaikolojia!Kwa msomali mtasubiri Sanaa,... Huyo ndo sterling yani
Jmn msomali mwingine Niko hapa ndo kusema hanioni au?[emoji32][emoji32]Vita ya kumgombania msomali kama namuona marioo huyu atakavyowapa show ya kibabe
Ila wanaume nyie rama si kwa mkumfanyia hivi mwenzie
Uko team ipi mkuu?
Unataka kupanga matokeo!Nikisha soma episode ya usiku nitatangaza team yangu
Heaven Sent kapotea sana sweetheart. Wapi yeye?Hahahaaaa!!! Hatoroki mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa msomali hata nishikiwe kisu sitakiUnataka kupanga matokeo!
Sema from the beginning ulimkataa msomali, ukihamia huko ntajua umeuza mechi!
- KANA -
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa msomali hata nishikiwe kisu sitaki
Asante sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu team Dee sweetheart!
- KANA -
Mie sina team.Nikisha soma episode ya usiku nitatangaza team yangu
Unasoma upepo kwanza?Mie sina team.
Anapita kimya kimya, sijui amekosa team!!Heaven Sent kapotea sana sweetheart. Wapi yeye?
- KANA -