Ahahha we utajua tu team yangu baba yeyooKwani wewe uko nashangilia team gani Mama Yeyooooo?
Team msomali naona wamemnogesha Lara... Na wasi wasi.. Mwokovu mpya kapewa Uhakika wa sadaka za Jumapili zote mpaka story ziishe..Hii kupapatikiwa sana na wanawake sio dalili nzuri kwa swahiba wetu Shababi, itabidi team tukae kikao cha dharura...gia inaweza kubadilishwa mamvo yakayeyuka kama Noah za makinikia
Nyc guess.. Lakini Lara ni kama mpiga ramli..So far so good!
In a short run, al-shabab anazo point tatu. Ladies are throwing themselves to him.
In a long run, ni advantage kwa team Dee. Maana al-shabab ataumbuka sababu hawa wanawake hata hawana siri.
For the mean time, we gon hunt him in the shadows. You just can't confront him this time when everybody seems to be on his side!
Team msomali, enjoy them ladies while you still can!
- KANA -
Sure, watu wakipanda dau mlokole mpya anauza mechi!Nyc guess.. Lakini Lara ni kama mpiga ramli..
Anavuma kama upepo..
Labda wokovu utasaidia this time around.
Team Msomali
Ahahha we utajua tu team yangu baba yeyoo
Wanakuaga mabingwa wa kujivictimize hahaaa!Lakini ata yeye si alimtosa mnigeria io ni karma
Kwakweli sio kazi nyepesi.Kujikana mwenyewe na kuubeba msalaba sio kitu kidogo ujue..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]So far so good!
In a short run, al-shabab anazo point tatu. Ladies are throwing themselves to him.
In a long run, ni advantage kwa team Dee. Maana al-shabab ataumbuka sababu hawa wanawake hata hawana siri.
For the mean time, we gon hunt him in the shadows. You just can't confront him this time when everybody seems to be on his side!
Team msomali, enjoy them ladies while you still can!
- KANA -
....Neema ya Mungu, iwaokoao watu wote, imefunuliwa duniani kote, Neema hiyo inatufundisha kujitenga na uovu na kukaa mbali na dhambi. Neema hiyo imemgusa lara 1 na wengine wengi tu nikiwamo na mimi pia. Ni maombi yangu Neema hiyo iwaguse kana , Tarime one , Mams Yeyoo Shunie , binti kiziwi , MUDUKU na wengine pia.Kwakweli sio kazi nyepesi.
Lakini ata yeye si alimtosa mnigeria io ni karma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....Neema ya Mungu, iwaokoao watu wote, imefunuliwa duniani kote, Neema hiyo inatufundisha kujitenga na uovu na kukaa mbali na dhambi. Neema hiyo imemgusa lara 1 na wengine wengi tu nikiwamo na mimi pia. Ni maombi yangu Neema hiyo iwaguse kana , Tarime one , Mams Yeyoo Shunie , binti kiziwi , MUDUKU na wengine pia.
Mchungaji mpya Lara kasema hii hi story ya kwanza ameiandika kwa ajili ya kumtukuza Mungu jamani ndugu wasomaji. Pia ametusihi tusiendelee kuamini au kuhusudu story zilizopita kwani zilijaa kazi za ibilisi na maisha yasiyokua na ushuhuda mzuri.
Hapa nimeshika kurunzi, karabai, taa ya dolar na kibatari kutafuta kwenye hii story kitu kilichosababisha hii title...hadi sasa hivi bado sijaona tofauti sana na zile za old lara 1 , tuendelee kuwa wavumilivu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu acha tupate burudani jamani. Kazi na dawa.
....Neema ya Mungu, iwaokoao watu wote, imefunuliwa duniani kote, Neema hiyo inatufundisha kujitenga na uovu na kukaa mbali na dhambi. Neema hiyo imemgusa lara 1 na wengine wengi tu nikiwamo na mimi pia. Ni maombi yangu Neema hiyo iwaguse kana , Tarime one , Mams Yeyoo Shunie , binti kiziwi , MUDUKU na wengine pia.
Mchungaji mpya Lara kasema hii hi story ya kwanza ameiandika kwa ajili ya kumtukuza Mungu jamani ndugu wasomaji. Pia ametusihi tusiendelee kuamini au kuhusudu story zilizopita kwani zilijaa kazi za ibilisi na maisha yasiyokua na ushuhuda mzuri.
Hapa nimeshika kurunzi, karabai, taa ya dolar na kibatari kutafuta kwenye hii story kitu kilichosababisha hii title...hadi sasa hivi bado sijaona tofauti sana na zile za old lara 1 , tuendelee kuwa wavumilivu..
Hahahaaa!! Ndio ujiandae kiroho kupona. Hakuna kurudi nyuma.Tatizo hii dawa dozi nene! Inaweza kuleta madhara badala ya kuponya.
Hahahaaa!! Ndio ujiandae kiroho kupona. Hakuna kurudi nyuma.