MOTP alikuwa mlokole then akakengeuka, kama kaokoka tena basi ni heri.Nasikia MOTP ameokoka, si unaona na Kubwa la Maadui anatangaza habari njema? Tuyaache yaliyopita kwa sasa tujikite kwa Msomali na Dee...
We inabidi ufungwe kidogo huko akili zifanye kazi.Lara 1 hebu nitoe Kinshasa mama, nirudishe mjini nije kuona huu mziki wa msomali na Sally.
- KANA -
Kurudi nyuma marufuku. Baki na Mercy. Ukirudi nyuma utatuponza.lara 1 mama, hii ndio ya kipendwa? Dah! Umeliamsha dude, you remind me those days, am tempted going back to my roots....sasa sijui nani ataniombea tena. Ila ahsante kwa executive Business Class unayotupatia kwenye huu ubuyu.
Aiseee!! Mwanaume kukosa pesa ni upungufu mkubwa sana we acha tu.Kweli kufugwa kuna hitaji ujasiri[emoji23][emoji23]aibu sana mwanaume kiambiwa msingi kiuno...lara 1 tuletee Dee kwanza aje apambane na msomali na hivi anahasira za kutapeliwa sipati picha[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msomli ***** kabisa unapiga papuchi huku unapeleleza.
Hahaa sio kwa mume wa winnie cha uvivu yule karidhika mwenyeweAiseee!! Mwanaume kukosa pesa ni upungufu mkubwa sana we acha tu.
MOTP alikuwa mlokole then akakengeuka, kama kaokoka tena basi ni heri.
Kweli we team roho mbaya,We inabidi ufungwe kidogo huko akili zifanye kazi.
[emoji23][emoji23]team free p...Kweli we team roho mbaya,
Sema mwanaume ni mwanaume tuu!
Si unaona mashemeji washaanza kujitongozesha kwa al-shabab?
Lazima wakopwe sana tuu!
- KANA -
Aiseee!! Mwanaume kukosa pesa ni upungufu mkubwa sana we acha tu.
Yule mbondei eti kabila nalo ni tatizo.Hahaa sio kwa mume wa winnie cha uvivu yule karidhika mwenyewe
Sio free,[emoji23][emoji23]team free p...
We inabidi ufungwe kidogo huko akili zifanye kazi.
Hizo Bwana asifiwe ziwe zinatoka moyoni kweli, sio za zima moto huku nafsi bado ziko duniani.Hahahaaa MOTP na Lara hawabanduki kanisani...full Bwana Asifiwe. Miujiza haiishi kwa kweli
Wanataka dyudyu tu. Maana wanajua he has nothing to offer than that. Aaaaagggggrrr!!!!!Kweli we team roho mbaya,
Sema mwanaume ni mwanaume tuu!
Si unaona mashemeji washaanza kujitongozesha kwa al-shabab?
Lazima wakopwe sana tuu!
- KANA -
Wameanza kujitetea. Acha wafungwe wafunguke akili.[emoji23][emoji23]team free p...
Marioo wanajua msingi wao ni kiuno tu baaasi. Hivyo wanajitoa ufahamu tu. Atafanyaje sasa, anapambana na hali yake tu!!!Ndio maana nashangaa, inakuaje msomali hana pesa na anauwezo wa kusimamia mechi? Nikiwa sina pesa au mambo hayajakaa sawa siwezi chochote.