Weekend Story! Glory Be To God!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jana nilicheka sana jaman wanaume wenzie wanamwambia huyo ndio mwanamke wa kumtumia nauli we wapi anasema hizo ndio picha zake shunie nikiongea nae kwenye video call
Haha nilimiss ubuyu kwa kweli. Eti video call mweeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana aiseee nakuwaje me jaman nimeumbwa ke au nikuje huko unione


Weeeee usiniletee balaaa rafiki, Lee utamuacha wapi wakati unakuja nijiridhishe kwamba kweli wewe ni ke?
Au unataka kuongeza msiba kwa tesm Shabaaab?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…