Weekend Story! Glory Be To God!

Hiyo ni story nyingine!
Tunayoijua sisi Dee yuko kanisani.

Alaf naskia kapewa uhasibu wa kanisa!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

- KANA -

Ndio, Dee chizi yupo kanisani, Msomaili gaidi yupo mochwari, Sally mkimbizi yupo na B.
 
Hiyo ni story nyingine!
Tunayoijua sisi Dee yuko kanisani.

Alaf naskia kapewa uhasibu wa kanisa!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

- KANA -
Hahaa sasa hivi kama namuona na suruali mita 6, shati mita 5 na moka kama katokea Congo leo, anachomekea kifuani + tai yake mita 3
 
Hahaa sasa hivi kama namuona na suruali mita 6, shati mita 5 na moka kama katokea Congo leo, anachomekea kifuani + tai yake mita 3
Ni afadhali mara 800 kuliko kutafunwa na mchwa kaburini.

Naskia msomali alikutwa uchi akiwa amekufa, hawakumfanyia mambo ya Mombasa kweli?

- KANA -
 
Ni afadhali mara 800 kuliko kutafunwa na mchwa kaburini.

Naskia msomali alikutwa uchi akiwa amekufa, hawakumfanyia mambo ya Mombasa kweli?

- KANA -
hizi ndo zereu nilizoziona mapema kabisa !yani niliina hiii fitna mapema kabisa Samaritan
 
ila msomali alikukosea nini dada!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakustahili kifo cha haraka hivyo, alshabab inabidi unamuweka mahali kila siku unamdonoa na sindano kidogo kidogo hadi afe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…