Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Haha team msomali woyooooooooooooooooooo. Ngoja team Dee wajeIgweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitengua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea tubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO
TEH TEH TEH [emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie [emoji23]. Timu Dee thank me later!
[emoji23][emoji23][emoji23] lara1 inabidi tumloge akiiiHaha team msomali woyooooooooooooooooooo. Ngoja team Dee waje
Kabisa, tumfanyie tu ulozi[emoji23][emoji23][emoji23] lara1 inabidi tumloge akiii
Igweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitegua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea Dubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO
TEH TEH TEH [emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie [emoji23]. Timu Dee thank me later!
Kabisa, tumfanyie tu ulozi
Hahahahhahah ingeishia hivi ingekua afadhari. Fanani katuibia so kidogo.
Jamani nawaombeni radhiii ndugu zanguuu! Leo haikiwa siku nzuri, mood kidogo iko off key! Nawaombeni waungwana kesho niwasambazie raha!
Hata usisherehekee mwaya hukumbuki tulivyomuombea tezi dume MOTP?lakini mwisho wa siku akabaki anatembea kifua mbele?
Haha are you invited?
Hilo tu! Usijali umepata mama.Missed you momma, haya kapumzike kesho unipikiepo pilau.
Karibu sana rafiki.Unipitie tukapige ubwabwa!
Hahahaaaa!! Mnawish huh!Igweeeeeeeeeeee
Basi bwana ndugu wasomaji Kama mnavyojua tena alshababu hafungwi , siku ile B alivyovuruga mipango si mnakumbuka alitegua bomu? machale yalinicheza, nikasema sikamatwi kipuuzi, nikakodisha private jet nikamchukua huddah na Sally tukatokomea Dubenga, nilisha establish mabziness kibao huku kwahiyo mambo yakawa bwerere tu.
Baba mkwe alifungwa bila hata kufunguliwa kesi bahati nzuri hakunitaja kabisa, sisi watu wa kazi hatutajani, basi ikaenda ikaenda nikapata email ya winnie kuwa Dee amekondeana kwa ngwengwe, nilivyomuonesha Sally alisindikiza ile habari na matusi mazito mno Ndugu msomaji siwezi hata kuyaandika. Kwasasa namuona Sally anatapika tapika ovyo nadhani amembeba mdogo wake huddah, basi inshallah sisi maisha yetu huku mazuri japo nina kawasiwasi kidogo. MWISHO
TEH TEH TEH [emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaani timu msomali, lala akiisoma hii mtakaangwa na mlie [emoji23]. Timu Dee thank me later!
Kumbe ninakuchukia eeeh!!!Nialikwe na nani tena? Huyo aunt alivyo na chuki na mimi hakawii kunimiminia acid ya uso.
Kumbe ninakuchukia eeeh!!!
Karibu sana rafiki.
Inakera character from nowhere ndo inakuja kupata mzigo, nikama watu wamekimbia Marathon 20 km af 19km anatokea kusikojulikana MTU Tu na kuchukua kombe, ngempa yule alirjitahidi japo.
Halafu nishaona Lara unamalizia story kulingana na teams n comments Ila rectify that kua na plan kabisa ya story itaishaje nomatter what, kuna feeling flani unapata main xter anaposhinda. Beautiful story ila sijaona ilipomtukuza mungu mana ulianza kwa kusema hivyo
Hiyo ni analysis yangu, mtizamo Tu.
Pamoja sana Lara 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haya karibu sana uncleHili jibu unalo mwenyewe. Mie bado napenda tufahamiane ujue. Staki zije zianze thread oooh wapi Samaritan sijui kibiti..mara mabwepande
Ahsante sana, Heaven Sent fanya kunipitia nimeshapata komfemesheni ya okesheni. Acha nisuuze kanzu na kibaraghashia changu.