Weekend Story! Glory Be To God!

Uwiiiiiii yaan nmesoma hapa nmwpiga kelele kwa furaha hadi wateja wakanishangaa Hahahaha ngoja ni log out kwanza nifanye kazi
 
Bora baby sema team Dee mwanzo mwisho hata kama B ndio sterling nae mhuni wahuni hawatengani.
 
yani B kaingiajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee INTERPOL!
halafuuuu walijuaje kuwa Sally atakuwa na msomaliiiii kiasi wamtrace Bouncer?
AH HILI GAME LIMEGEUZWAAAAAA
we lara 1 usitutie dole la kichwa,psyuuuuu!
we huwezi kutubadilishia dude angani!
UJE HAPA!
umelipwa na B utuache mdomo wazi hadhira tuliwe bet yetu!
Hapa bila WAJUKUU WA HUDDHA HUJATWAMBIA KITU!
huddah awe tu MARLENA na mtoto wa Dee awe JOHN BLACK!
 
Sasa Lara sterling wa story ni nani? Sally,Msomali au Dee?
Kwa kweli ef 10 haijatoka kirahisi.Ila ungemuelezea baunsa kidogo mwanzo na historia yake na sally atleast tungeweza kumfikiria ila hukumwelezea.Please ukumbuke na kutuelezea ilikuaje kuaje akawa detective J Rolings
 
Ndugu wasomaji wenzangu, kuna mtu kamnunua fanani ili abadili matokeo kama JECHA!

hatuhami team D!

- KANA -

B keshaonja mambo na amempenda Sally ile kiukweliukweli na ana mapenzi ya sayari ya Juniper kama sio Zebaki kwa Huddah. Anajua fika kumuweka Shabab mikononi mwa polisi aende kwa Trump Gwantanamo ni kuhatarisha penzi lake changa kwa Sally na Huddah! Atakua mtiifu kwa interpol au kutii sauti ya Ngoswe?

Am back
 
Umemnunua fanani!
[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]

- KANA -
 
Kwanza ndugu wasomaji ntaendelea kubaki team Msomali hadi hapo kombora la Korea Kaskazini litakapotusambaratisha. Hii sasa naona imeshakua vita kamili, inahitaji mundu, sime, mishale, bisbis, viwembe, vifaru, nyuklia na aina zote za marungu.

Title inasema Glory to God, ubuyu unaishaje kizembezembeeeeeee. Who on earth is B? Akimpeleka Msomali kwenye vyombo husika ajue kabisaa anafungaisha virago aende zake. Na mtandao wa shabab watamuua tu hatabaki salama.
 

Sterling wa movie si aliyezaa na Sally? Kwanza uko team gani?
 

Naona hapa unataka kuwabadilishia gia angani team Dee uwape ushindi wasomali. Mimi ni team B na team baba watatu. M

By the way hakuna movie inayoisha wabaya wakashinda, Alshababu wakishinda basi script lazima ifungiwe na BASATA [emoji2]
 
Naona hapa unataka kuwabadilishia gia angani team Dee uwape ushindi wasomali. Mimi ni team B na team baba watatu. M

By the way hakuna movie inayoisha wabaya wakashinda, Alshababu wakishinda basi script lazima ifungiwe na BASATA [emoji2]

Unasema wewe team B, unamjua B?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…