Weekend Story! Glory Be To God!

Nilikuambia Dee ni mtoto wa mbwa hukuamini. Nikashauri sally arudi kwa msomali anajifanya kashonwa nyuzi Tisa msomali hakuwepo. Sasa mwaizaya dee kamfanya hamna sasa
Dawa ya mwanamke mshenzi ndio hiyo unamto.....mba kihuni tu yani nje ndani kma unashona gunia la mahindi plus kumkunja kunja hovyo 2 mana hana shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahaaaaaa dah umetisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa!! Hutaki stress kabisa. Story nzito ivo we unamaliza kwa mistari saba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaeni mkao wa kumaliziwa story.

ATAKAE TABIRI MWISHO UTAKUWAJE NAMPA 10,000. Japo mwisho upo mbali mda unabanaaa naua ua matukio na kuusogeza mwisho paaaaah! Ili tukafanye kazi zingine za kulijenga taifaaaa. STORY MIEZI MI 2 UNAENDA WA 3, NAJUUUUTAAAA KUJITIA STERLING. Magu akitufumaaaa hapa story tu atatutumbua mchana kweupeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Woyoooooo!

Popcorn time!

- KANA -
 
Dee anabaki kua single parent akiishi na mwanae Lorraine (japo Lara hashindwi kumuozesha chiku).

Sally anaolewa na msomali wanahama kabisa bongo (kama uhamiaji watachelewa kumkamata huyo al-shabab).

Winnie anaachana na kakaake Sally, anatulia na mumewe. Mumewe anakubali kulea mtoto wa nje ya ndoa (japo ni uzoba, mimi pangechimbika)

Haya, nshaagiza balimi hapa. Tuma hiyo 10000/= nimalizane na mhudumu.

Alaf muhudumu mwenyewe kama chiku vile. Sijui kama ntatoka salama!

Cheers!

- KANA -
 
Duh, kweli watu wanabadilika.
Nae kahtan alikuja omba samahani kwa nyuzi zale zile za zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…