Weekend Story! DESPERATE!

@lara1 nimesoma 1 chapter tu lakini sio kwa nnavyo ogopa huko mbele... maana nipo kwenye boom period ya kumuombea huyoooo mume. I cnt handle disappoints jamani
 
Maskini Anna , ila hapa muharibifu ni troy why kasema Anna ana mimba wakati hakuna? Kanikera
 
Hapo mwisho nimemwaga mchozi basi sisomi tena kwaherini....raha ya stori uburudike
 




Salamu kwako lara 1
 
Sasa Troy atampokea tena mgumba Anna wakati anapenda sana watoto? Na kama Fred atakuwa tayari kuendelea na mipango ya ndoa Anna atakubali? Ameshamuona Fred kama muuaji. Loser hapa ni Anna. Poor her.
 
Sasa uyu mama mkwe ndo nini.......
Ila hii ndoa itapush on tuu Anna atabeba mimba tuuu iwe iweje kwa nguvu ya pesa.........
Mmmhhh lakini karoho kameniuma
 
Sasa uyu mama mkwe ndo nini.......
Ila hii ndoa itapush on tuu Anna atabeba mimba tuuu iwe iweje kwa nguvu ya pesa.........
Mmmhhh lakini karoho kameniuma

Ndugu hapo ni mungu tu kwakweli
.tuwe na imani kuwa mungu wa ana anaishi
 
Hata ye mwenyewe kakiri kuuona ufalme wa mungu ni ngumu khakhaakhaa THE SNITCH
Dunia inavyotuvuruga acha kabisa, mpaka unawaza hivi hiyo pepo wataiona wangapi!!! Mungu atusaidie tu kwakweli.
 
Dunia inavyotuvuruga acha kabisa, mpaka unawaza hivi hiyo pepo wataiona wangapi!!! Mungu atusaidie tu kwakweli.

Mi hapo mwisho nimesoma gafla nikahis mwili kutetemeka yani
 
One minute to time jamani kaeni mkao wa kusoma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…