Weekend Story! DESPERATE!

Jamani ndo naanza kuandika hapa, kesho mapinduzi, sasa kama vipi mkae mkao wa kudhubutu kukutwa na Freddy!
nice story nimeianza leo mpaka nimekufikia #teamfreddy#....usiache kunitag new story si unajua huku tunachungulia kwa msimu
 
Haha nilijua tu utanipa kibomu. Basi mama, nisije sema umebadili gia angani bure

Hamna bana lara akibadilisha abadilishe tu mungu anamuona Z was so desperate 5 years holaaa mpaka akahaha at the end of the day mungu kamshika mwili mzima si mkono tu sasa ka Anna nako tukatilie imani tu
 
Mmh me nawish waoane tu na Freddy, yani treatment zote alizopewa na papito afu ambwage, itaumaaa. Kweli wanaume sio ndugu zetu haha
 
Ila fredy ni mafia yule hatabiriki.. Sa alimfukuza na kumblok ana kisa nini hasa?? Kumpima imani Au?? mh kuna ndoa nyingine mpaka uje uingie ndani ushasota vya kutosha
 
kubwa la maadui..saa saba na dakika tatu sasa

Ishafika na dakika 10 sasa ndonini kutufanya hivi watu wazima wengine hatuna kampani hapa tumelala pekeetu lara nae anatupiga doro duh mi namsusia bana ntasoma kesho kasusiwa frede iwe lara!! khakhaakhaa!!!!
 
Mie naendelea kupata maujuzi ya Freddy ingawa inaonekana mkwanja kanizidiii

Ndio uzuri wa hizi story, sio tu unapata maujuzi, inabidi zikupe hasira za kusaka noti pia. Mwanaume kukosa pesa fedheha sana, wife ananielewa, nikiwa sina nakua mnyonge kweli hata nikijitahidi kujichangamsha kumbe anajua tu hapa Leo jamaa hana kitu
 
eti kama uncle Fredy.
 
Ishafika na dakika 10 sasa ndonini kutufanya hivi watu wazima wengine hatuna kampani hapa tumelala pekeetu lara nae anatupiga doro duh mi namsusia bana ntasoma kesho kasusiwa frede iwe lara!! khakhaakhaa!!!!
Hahahaaaa!! Fredy alisusiwa mwili, we umemsusia nini?
 
Ndio uzuri wa hizi story, sio tu unapata maujuzi, inabidi zikupe hasira za kusaka noti pia. Mwanaume kukosa pesa fedheha sana, wife ananielewa, nikiwa sina nakua mnyonge kweli hata nikijitahidi kujichangamsha kumbe anajua tu hapa Leo jamaa hana kitu
Ni kweli mwanaume akikosa pesa unamgundua tu anavyokuwa mpole, yaani sisi baba alikuwa akiwa hana pesa tunamjua tu, basi tutajipendekeza kumfurahisha na mastory mengiii.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…