Nimesisimka kama uncle freddy vile, wakati tunaendelea kumuombea huko aliko asiwe na haraka afanye mambo yake taratiiiibuuu, its my pleasure to be your uncle freddyMmhh kwani wewe huwezi kuwa uncle Freddy wangu??
Thanks my sister, nisimulie ulichonisomea sasa, teh!
Teh ntakusimulia kwa pichaThanks my sister, nisimulie ulichonisomea sasa, teh!
Hapo sawa, nikajua utasema kwa vitendo, teh!Teh ntakusimulia kwa picha
WeeeeeeeHapo sawa, nikajua utasema kwa vitendo, teh!
HahaaaaaaaWeeeeeee
Yani Mianaume mingineHahaaaaaaa
Si mmeishaambiwa hata sista yako ni marupurupu ya ndoa sijui ya undugu, teh!
Kumbe mito ndio ananiharibia mtoto.
Nawaangalia tu.Hahaaaaaaa
Si mmeishaambiwa hata sista yako ni marupurupu ya ndoa sijui ya undugu, teh!
Yani Mianaume mingine
Hahaha sina uncle Freddy mie, sijaanza bado mambo ya kumsusia mtu mwiliKumbe mito ndio ananiharibia mtoto.
Uncle Fredy wako yuko wapi?
Haha ukute nshomile anashangaa huko, kama kaona "semosi" vileNawaangalia tu.
Teh atakuja kuthibitisha mwenyewe
Sasa mnapenda mwanamke achakae baada ya kuachwa?acheni hzo bhanaMwanaume kuchapiwa ni tusi kubwa sana, ukiwa mwanaume inauma kinyama hata uwe malaya kiasi gani