Hehehe mjini akiliJana kaliwa na Raul leo asipoliwa na pastor MUNGU saidia....kweli MUNGU kamsaidia pastor Kala kisera bila hata kulipa bili ya 780,000/=
Duh pastor nae mkuda kampigia mpaka mtu wa TRA achek usajiri wa number.
Hivi bangi hazijaruhusiwa... zikiruhusiwa sijui mtafanya nn
we una qoute story nzima nakakoment kako bado unajiona uko sawa.Ha ha ha some other words are better left unsaid....
What you wrote and what the comment implies are two different things unless you break down ur implications otherwise I see psych trauma in u..
Or else you know better mate...
Sincerely
we una qoute story nzima nakakoment kako bado unajiona uko sawa.
Yaani Lara katika vitu ambavyo hutakiwi kuvibadilisha ni uandishi wako...hii ndiyo identity yako!!Nashukuru kwa mrejesho wako. Nitajitahidi kukuridhisha siku ingine.
He is patrollingHa ha ha ha...
Basi sawa bwana, KORBOTO !!
Naelewa unakazi kubwa ya kupitia kila comment...
Samahani afisa!
Hahahaa,chaaa nimecheka sana...asante kwa niabaTangu nianze soma story za lara 1 naona we ndo umekerekwa kuna watu zaid ya laki wanasoma na weng wanacomment vyema kuwa unatufurahisha , hatulali wenzio na alam tunaweka kwa uandish wake huu huu, kama unakukera weye tu pita [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] sio lazima usome jf kuna majukwaa meng sana ,
At least ungetuandikia hiyo yako ambayo sio uharo wa bata tuisome ili tuone ila we ndo naona hapa unachefua na uharo wako tuachie lara 1 wetu halipwi ni free kiburudisho so tulio wake tunaenjoy, usirud humu hujaitwa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yan nimeruka kwa furaha mpka mr kanishangaaa chaaa dada lara jaman mwaahhaaaaa mwahhhhJioni naanza kumalizia viporo vya story. Tunaanza na GET RICH OR DIE TRYING! Kama hukiwa umeisoma ndo ukaanze. Saa 4 kama kawaida.
Jaman kimya????Yan nimeruka kwa furaha mpka mr kanishangaaa chaaa dada lara jaman mwaahhaaaaa mwahhhh