Jamani Story Saa 2 usiku, kuna redandancu huku kazini kwangu wameweka hela ndefu uondoke mwenyewe, au ubaki ucheze kamari. Sasa ndo nahangaika TUICO, kwa Recruitment agent wangu, NSSF, Lawyer. Saa 2 ndo nitapata mda.

Kiukweli mr.alinipigia simu muda mfup baada ya kutoka kwa dada lara khaaaa nilishtuka sana ....nikamuuliza saiv unafanyaje maelekezo alonipa kiukweli yameniweka njia panda ...nataman hata kumjua huyu lara huenda n mfanyakaz mwenzie na mr.mana huko ofisin.kwa mr.kumenuka mbaya kabisa